Habari wana jf
mimi ni mgeni humu najitokeza leo kuomba ushauri
nilipata mpenzi takriban miezi mitatu iliopita katika mtandao maarufu sana unaokutanisha wake kwa waume wanaohitaji marafiki na wapenzi.
mwanaume huyo ni mtu wa africa magharibi
1. kila nikimuuliza shughuli anazofanya hapa dar es salaam hataki kusema (ni msiri sana)
2.hulala kutwa nzima jioni ndio hutoka kuelekea kusikojulikana.(hata vocha ikiisha hatoki kununua dukani mpaka niwepo ndio nikamnunulie).
3.nimeskia tetesi kwamba ni mwizi wa njia ya mtandao na anatafutwa. Ni mstaarabu mpole huduma zote anatoa kama tumefunga ndoa vile. hizi habari nilizopata ndio nashindwa kuamini kipi niache kipi, sitaki kua negative.
akili yangu haipo sawa hizi habari zimenipa hofu kiasi ambacho nashindwa cha kufanya.
naomba ushauri bila kebehi /kashfa
smartass (matak0 majanja?), kwani unaishi naye kwako au hotel alikopanga? wewe aliyekwambia kwamba ni mwizi wa mtandaoni ni nani na alijuaje? kwa hiyo hiyo mitandao anavyotoka jioni ndiyo anaenda kuivunja au? kama ni raiya wa kigeni most likey anaishi nchini kiharamu, na kama anafanya shughuli zisizo halali basi most likely ni dawa za kulevya, mwizi wa mtandaoni ni ngumu kujua kama anatafutwa mara nyingi anajikuta amekamatwa tu! kama anaishi kwako ni hatari sana maana unatunza mgeni asiye nchini kisheria unavunja sheria na una kesi ya kujibu, utafungwa! kama anaishi hotel na wewe umeona umejipatia ondoka faster rudi kwenu/kwako, utajikuta jela!Habari wana jf
mimi ni mgeni humu najitokeza leo kuomba ushauri
nilipata mpenzi takriban miezi mitatu iliopita katika mtandao maarufu sana unaokutanisha wake kwa waume wanaohitaji marafiki na wapenzi.
mwanaume huyo ni mtu wa africa magharibi
1. kila nikimuuliza shughuli anazofanya hapa dar es salaam hataki kusema (ni msiri sana)
2.hulala kutwa nzima jioni ndio hutoka kuelekea kusikojulikana.(hata vocha ikiisha hatoki kununua dukani mpaka niwepo ndio nikamnunulie).
3.nimeskia tetesi kwamba ni mwizi wa njia ya mtandao na anatafutwa. Ni mstaarabu mpole huduma zote anatoa kama tumefunga ndoa vile. hizi habari nilizopata ndio nashindwa kuamini kipi niache kipi, sitaki kua negative.
akili yangu haipo sawa hizi habari zimenipa hofu kiasi ambacho nashindwa cha kufanya.
naomba ushauri bila kebehi /kashfa
Mbona tunaishi na nyie na mnatupiga mizinga na hatuwaiti majambazi?!