Kumbe ni Kweli Wananunuliwa. Mwenyekiti CCM Mara Athibitisha

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara bwana Samwel Kiboye amethibitisha kuwa kumbe wabunge na viongozi wengine wa upinzani wanaokwenda CCM wanakuwa wamefika bei na kununuliwa.
Kiongozi huyo kayasema hayo hadharani akimwambia mbunge wa Ukonga na naibu waziri wa Tamisemi Bwana (sio mheshimiwa maana hakuna mheshimiwa anayejiuza) Mwita Waitara.
Kisa cha siri hiyo kutoka hadharani ni baada ya Waitara kujisahau na kuanza kuwadharau wana CCM hivyo Mwenyekiti huyo wa mkoa kumtahadharisha kuwa pamoja na kufika bei hawana thamani ndani ya chama kama wanavyo dhani.
Jee kuna ubishi tena kuwa huwa WANANUNULIWA?View attachment 1380076

Sent using Jamii Forums mobile app

What goes around comes around

Walionunuliwa wote this is your fate

Tegesha your arses ,shaft is coming!
 
Wana ccm wengi hawaridhiki jinsi chama chao kinavyofanya siasa za kijima. Wanajua kuwa waliofikisha chama chao hapa ni wahuni tu.
 
Hiyo mbona inafahamika ,hawa walionunuliwa wajiandae kufanya kazi nyingine,wasaliti wakubwa.
 
Mbona inafahamika sana !
Inafahamika. Wanadai wanaemda kuunga mkono juhudi za mwenyekiti.
Chama chenye wafuasi wengi kinatumia mapato ya serikali kununua wafuasi. Inauma sana ubadrifu huu. Istoshe wanajinasibu kuwa wanapiga vita ufisadi.
Aidha, ccm inahofia nn upinzani unaokufa?
 
Ni aibu kubwa mno...... kumbe Mzee kauza utu na heshima yake kwa vipande vya fedha.

Hongera sana Mwenyekiti wa CCM Mkoa, huu ndiyo mfano wa mfia chama anatakiwa kuwa, siyo asubuhi hadi jioni we ni mapambio tu...
 
Back
Top Bottom