Kumbe ni Kweli Wananunuliwa. Mwenyekiti CCM Mara Athibitisha

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
842
2,467
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara bwana Samwel Kiboye amethibitisha kuwa kumbe wabunge na viongozi wengine wa upinzani wanaokwenda CCM wanakuwa wamefika bei na kununuliwa.

Kiongozi huyo kayasema hayo hadharani akimwambia mbunge wa Ukonga na naibu waziri wa Tamisemi Bwana (sio mheshimiwa maana hakuna mheshimiwa anayejiuza) Mwita Waitara.

Kisa cha siri hiyo kutoka hadharani ni baada ya Waitara kujisahau na kuanza kuwadharau wana CCM hivyo Mwenyekiti huyo wa mkoa kumtahadharisha kuwa pamoja na kufika bei hawana thamani ndani ya chama kama wanavyo dhani.

Jee kuna ubishi tena kuwa huwa WANANUNULIWA?

tanzaniadaimatz___B9YneKvAYPx___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara bwana Samwel Kiboye amethibitisha kuwa kumbe wabunge na viongozi wengine wa upinzani wanaokwenda CCM wanakuwa wamefika bei na kununuliwa.
Kiongozi huyo kayasema hayo hadharani akimwambia mbunge wa Ukonga na naibu waziri wa Tamisemi Bwana (sio mheshimiwa maana hakuna mheshimiwa anayejiuza) Mwita Waitara.
Kisa cha siri hiyo kutoka hadharani ni baada ya Waitara kujisahau na kuanza kuwadharau wana CCM hivyo Mwenyekiti huyo wa mkoa kumtahadharisha kuwa pamoja na kufika bei hawana thamani ndani ya chama kama wanavyo dhani.
Jee kuna ubishi tena kuwa huwa WANANUNULIWA?View attachment 1380076

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote nimekuwa nikimuona mkurya mpumbavu. Laana inapaswa imuingie akalime huko kijijini kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Waitara kwa sasa hako ka mshahara anako kapata ale akiweka akiba maana tulisha muonya kuwa kuna wana ccm wenye chama chao
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara bwana Samwel Kiboye amethibitisha kuwa kumbe wabunge na viongozi wengine wa upinzani wanaokwenda CCM wanakuwa wamefika bei na kununuliwa.
Kiongozi huyo kayasema hayo hadharani akimwambia mbunge wa Ukonga na naibu waziri wa Tamisemi Bwana (sio mheshimiwa maana hakuna mheshimiwa anayejiuza) Mwita Waitara.
Kisa cha siri hiyo kutoka hadharani ni baada ya Waitara kujisahau na kuanza kuwadharau wana CCM hivyo Mwenyekiti huyo wa mkoa kumtahadharisha kuwa pamoja na kufika bei hawana thamani ndani ya chama kama wanavyo dhani.
Jee kuna ubishi tena kuwa huwa WANANUNULIWA?View attachment 1380076

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Mbona inafahamika sana !
 
Hiyo biashara ipo tena kubwa sana wanaCCM wenyewe wanajua kuwa Chama chao ni kinara wa hiyo biashara,Mbatia huyo kesha ramba fuba lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara bwana Samwel Kiboye amethibitisha kuwa kumbe wabunge na viongozi wengine wa upinzani wanaokwenda CCM wanakuwa wamefika bei na kununuliwa.
Kiongozi huyo kayasema hayo hadharani akimwambia mbunge wa Ukonga na naibu waziri wa Tamisemi Bwana (sio mheshimiwa maana hakuna mheshimiwa anayejiuza) Mwita Waitara.
Kisa cha siri hiyo kutoka hadharani ni baada ya Waitara kujisahau na kuanza kuwadharau wana CCM hivyo Mwenyekiti huyo wa mkoa kumtahadharisha kuwa pamoja na kufika bei hawana thamani ndani ya chama kama wanavyo dhani.
Jee kuna ubishi tena kuwa huwa WANANUNULIWA?View attachment 1380076

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo gazeti lina chuki binafsi na Mwita Waitara!
 
Back
Top Bottom