Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,285
- 4,601
Wakuu hili sanamu mbona limefanana sana na dr shika au kuna uwezekano mchoraji alitumia kapicha ka dr shika pengine..
Aisee wanafanana sana, kumbe ndiyo maana watu wanasema ni manyerere wa bihalamuloWakuu hili sanamu mbona limefanana sana na dr shika au kuna uwezekano mchoraji alitumia kapicha ka dr shika pengine.. View attachment 1151162
Kwamba mwenye Alladin lamp ni mbinafsi anapendelea kwao tu.Huyo Nyerere wa sanamu kakasirika nini?
Duh, na vile baba wa watu alivyopaacha Butiama, lazima akunje ndita.Kwamba mwenye Alladin lamp ni mbinafsi anapendelea kwao tu.
Kuna nukuu moja alisema akiwa anatoka Msasani asubuhi kwenda Ikulu akiwaona omba omba alikuwa anaumia kama rais amefeli kuboresha maisha yao.Duh, na vile baba wa watu alivyopaacha Butiama, lazima akunje ndita.
Kuna wakati John Malecela alikuwa waziri wa ujenzi. Nyerere akaambiwa serikali inataka kutengeneza barabara ya kwenda kwake Msasani. Akawakataza.
Baada ya muda kidogo, Nyerere akasafiri. Kurudi akakuta barabara ishatengenezwa.
Malecela alipata tabu sana kujieleza.
Mchonga alikuwa mbishi kuweka lami si Butiama Mara tu, mpaka Msasani.
shika huyo bwanaHuyo Nyerere wa sanamu kakasirika nini?
Itapendeza zaidi...shika huyo bwana
Kwamba mwenye Alladin lamp ni mbinafsi anapendelea kwao tu.
Picha hii inaonesha jinsi ambavyo watu hawako makini katika majukumu yao, Kazi kama hizi kama zingetolewa kwa kufuata taratibu ninaimani hili lisingetokea. Nafikiri wasimamizi pamoja na viongozi mbalimbali kwenye mambo kama haya lazma wajifunze ili kuzuia yasitokee tena, kwani naona kama yanajirudia na hakuna mtu anayejifunza kwa makosa ya awaliWakuu hili sanamu mbona limefanana sana na dr shika au kuna uwezekano mchoraji alitumia kapicha ka dr shika pengine.. View attachment 1151162
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wakuu hili sanamu mbona limefanana sana na dr shika au kuna uwezekano mchoraji alitumia kapicha ka dr shika pengine.. View attachment 1151162
.sanamu ya nyalandu
Mbona kama kabudi