Nchimbi na Polepole wanajua kuliko Mwinyi,majaliwa,mpango,karume nk mbona tuko nao.Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???
Kweli,Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi.
Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???