Kumbe ni afadhali Tanzania!!??

Uganda nimekaa sana. Ni nchi kama vile haina sheria, mfano mtu kamtia mimba binti yako ukimripot polisi akidakwa bas unaenda mnaelewana anakulipa gharama za malezi na elimu halafu unampa mke wake.

Boda boda unaeza kuinunua na ukaitumia bila kuisajili had inakongoroka.

Magendo hakuna Uganda, we ingiza chochote kwao ni halali.

Bange, gongo, viroba na mirungi ni halali
Mkuu ya kweli hayo?
Sasa hiyo ni nchi au?
Duuh!!!
 
Kunatofauti,jiulize je Uganda wana viwanda vingapi vya kutengeneza sukari?halafu na hapo Tanzania vipo vingapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom