Kumbe ni afadhali Tanzania!!??

Bei ya sukari ipo sawa regionally. Bei za vyakula pia. Tofauti siyo kubwa na ni soko ndiyo linalopanga bei, hata ufanyeje. labda utoe subsidy.
 
Kwahiyo tatizo mfumuko wa bei sio la Tanzania pekee kwa sasa?
 
Kwa wale mliopo Uganda hebu tuambieni, je ni kweli bei ya sukari imefikia 4500/=shs.??
Kama ni hivo kumbe huku kwetu tunanafuu.
Uganda ni nchi pekee Afrika Mashariki inayojitosheleza kwa sukari. Production imezidi demand so wanaexport sana.
I don't think kwamba hii taarifa ina ukweli ndani yake
 
Mkuu taarifa hii ni kwa mujibu wa watu waliopo huko, so kama kuna wengine wapo huko na mambo ni tofauti, waseme tu hapa mkuu.
 
Dam55 wingi wa digits haimanishi ndo thamani yake. 1 $ ni 2225 tsh za Tz. ina maana mtu akitoka us akasema sukari kg. 1 ni dollar moja utasema heri yenu? The same amount. Au £ 1 sterling ni sawa na 3250 tsh. akisema huku sukari ni cent 80 si utaruka? Uganda pesa yao inazidi kupaa toka kuzimu. Wakati wa Idd Amin sh. ya Tanzania moja ilikuwa kama ush.50,000/= sasa tsh. 1 = ush. 20 au 30 sasa ona wanavyokwenda. Soon sh. ya Uganda watatupita sababu ninavyoangalia kwenye soko la pesa, kila siku Uganda ina kwenda juu ambapo Kenya inashuka na kubaki pale pale. Uchumi wa Uganda unakua sana na wana investors wengi ambao wamepewa uhuru kufa nya kazi na mazingira mazuri. Mseveni anaweza kuwa dicteta lakini mjanja. Waganda wamejaa dunia nzima wanafanya kazi za ualimu, engineering na nchi ambazo huwezi fikiria zinawapa kipaumbele kupata visa mitandaoni. Tanzania haipo hivyo sisi pesa yetu ya nje ipo limited hatuna watumaji wengi na ndo maana currency yetu ipo chini. Wakenya vile vile wapo nchi nyingi wanafanya kazi. Tatizo letu LUGHA na ELIMU !!!!!!!
Kufanya kazi nje ndio njia pekee ya kuongeza thamani ya pesa? Halafu, thamani ya pesa ya nchi husika sidhani kama ni inshu kubwa saaana kiuchumi. Mfano Japan, fedha yao ina thamani ndogo sana, kuna mengi tusiyoyajua ktk mifumo ya kifedha na kibenki hapa duniani.

Kuna kipindi, IMF na WB walikuwa wakimshinikiza China kushusha thamani ya pesa yake, tafakari hili, kumbe hata kwa mashinikizo linawezekana.
 
Mkuu acha kejeli jibu swali kama linaouliza
Kufahamu wewe kitu sio kwamba wale wasifahamu ni wapumbavu, so jibu swali basi.
Kwa hiyo wewe kwa ufahamu wako unataka kutwambia kwamba fedha za nchi zote ni sawa? Ina maana ulikuwa hufahamu kabisa kwamba kuna tofauti ya thamani kati ya fedha ya Tanzania na Uganda? Kwa hiji hapana. Unaishushia heshima JF
 
Tusijilinganishe na wengine! Tutakua tunajipa false hope. Hamna unafuu wowote!
 
Kwahiyo tatizo mfumuko wa bei sio la Tanzania pekee kwa sasa?
Tanzania ina mfumuko mdogo wa bei kulinganisha na nchi nyingi Afrika, siyo Afrika mashariki tu. Hata za ECOWAS, IGAD, EAC, SADC ukilinganisha, bado Tanzania ina mfumuko wa bei mdogo. I can say 4sho, arround 90 percentile.
 
Kwa hiyo wewe kwa ufahamu wako unataka kutwambia kwamba fedha za nchi zote ni sawa? Ina maana ulikuwa hufahamu kabisa kwamba kuna tofauti ya thamani kati ya fedha ya Tanzania na Uganda? Kwa hiji hapana. Unaishushia heshima JF
Ahsante kwa maoni yako.
 
Kufanya kazi nje ndio njia pekee ya kuongeza thamani ya pesa? Halafu, thamani ya pesa ya nchi husika sidhani kama ni inshu kubwa saaana kiuchumi. Mfano Japan, fedha yao ina thamani ndogo sana, kuna mengi tusiyoyajua ktk mifumo ya kifedha na kibenki hapa duniani.

Kuna kipindi, IMF na WB walikuwa wakimshinikiza China kushusha thamani ya pesa yake, tafakari hili, kumbe hata kwa mashinikizo linawezekana.
Hujanielewa, wanaofanya kazi nje wanaleta pesa nyingi ya nje hivyo kusaidia uchumi wa nchi. Macau wanategemea pesa za wacheza kamali toka nje ili waishi na wanaishi vizuri, sherisheri wanategemea utalii na unawapa kula na nchi nyingi. kama sarafu yetu ina thamani kwa nini tutake za nje? Hakuna sababu ila bado tupo chini hivyo huwezi agiza bidhaa kwa sh. itabidi ununue za kigeni.
 
Dam55 wingi wa digits haimanishi ndo thamani yake. 1 $ ni 2225 tsh za Tz. ina maana mtu akitoka us akasema sukari kg. 1 ni dollar moja utasema heri yenu? The same amount. Au £ 1 sterling ni sawa na 3250 tsh. akisema huku sukari ni cent 80 si utaruka? Uganda pesa yao inazidi kupaa toka kuzimu. Wakati wa Idd Amin sh. ya Tanzania moja ilikuwa kama ush.50,000/= sasa tsh. 1 = ush. 20 au 30 sasa ona wanavyokwenda. Soon sh. ya Uganda watatupita sababu ninavyoangalia kwenye soko la pesa, kila siku Uganda ina kwenda juu ambapo Kenya inashuka na kubaki pale pale. Uchumi wa Uganda unakua sana na wana investors wengi ambao wamepewa uhuru kufa nya kazi na mazingira mazuri. Mseveni anaweza kuwa dicteta lakini mjanja. Waganda wamejaa dunia nzima wanafanya kazi za ualimu, engineering na nchi ambazo huwezi fikiria zinawapa kipaumbele kupata visa mitandaoni. Tanzania haipo hivyo sisi pesa yetu ya nje ipo limited hatuna watumaji wengi na ndo maana currency yetu ipo chini. Wakenya vile vile wapo nchi nyingi wanafanya kazi. Tatizo letu LUGHA na ELIMU !!!!!!!
Uganda nimekaa sana. Ni nchi kama vile haina sheria, mfano mtu kamtia mimba binti yako ukimripot polisi akidakwa bas unaenda mnaelewana anakulipa gharama za malezi na elimu halafu unampa mke wake.

Boda boda unaeza kuinunua na ukaitumia bila kuisajili had inakongoroka.

Magendo hakuna Uganda, we ingiza chochote kwao ni halali.

Bange, gongo, viroba na mirungi ni halali
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom