Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 19,151
- 50,217
Ebu toka hapa.. Nchi yenu??Maeneo ya mashamba yapo makubwa tu kutokana na ukubwa wa nchi yetu

Chato kuna msitu ndio New York usiwepo?New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Nakushauri ufanye utafiti zaidiNew york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Nakushauri ufanye utafiti zaidi
Ulivyo viongea vipo nje kabisa ya jiji la New york City na ni kwa kiasi kidogo sana
Mjini kati hakuna kitu ni magorofa na ile miti michache kwenye bustani
Kwani Dar hakuna misitu: Mbona kuna ule msitu mkubwa tu wa Pugu?
Ukienda huko maeneo nafikiri hata kufuga kulima nk wanaruhusu
Sasa wewe ukisikia Dar unafikiria Kariakoo
Umechanganya New York State ambayo ndani yake ndio kuna New York City.New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Picha iko wapi ya mistu na mashamba huko New York?New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Hauniulizi tena kuhusu Alu 😀😀Ebu toka hapa.. Nchi yenu??
Tuweke mashamba ili wewe na vibaka wenzio mpate pa kujificha sio, pole sana, mtu mwenyewe hata kulima hujui !!New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.
Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.
Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.
New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.
Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.
Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.
Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?
London tu ukisoma ina mashamba 500,
Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Najua pale haujaweza. Kwanza huu ndio muda wa mimi kuanza mdogo mdogo. Nitaleta feedback.Hauniulizi tena kuhusu Alu 😀😀
Kweli.Misitu muhimu kwenye miji
Au nyie mnataka kujenga mijumba tu maeneo yote,lazima mji upumue
Ova
Nilichogundua ni kwamba kuna watu wengi hawajui tofauti ya New York State na New York City.Mkubwa hiyo ni NY upstate maana ukisema NY watu wanaweza kudhani mpaka Downtown
😀😀😀😀 ukifanikiwa itakuwa safi sanaNajua pale haujaweza. Kwanza huu ndio muda wa mimi kuanza mdogo mdogo. Nitaleta feedback.