Kumbe New york City kuna mashamba na Misitu pia?

New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.

Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.

Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.

New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.

Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.

Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.

Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?

London tu ukisoma ina mashamba 500,

Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Chato kuna msitu ndio New York usiwepo?
 
Nakushauri ufanye utafiti zaidi
Ulivyo viongea vipo nje kabisa ya jiji la New york City na ni kwa kiasi kidogo sana
Mjini kati hakuna kitu ni magorofa na ile miti michache kwenye bustani

Kwani Dar hakuna misitu: Mbona kuna ule msitu mkubwa tu wa Pugu?
Ukienda huko maeneo nafikiri hata kufuga kulima nk wanaruhusu
Sasa wewe ukisikia Dar unafikiria Kariakoo
 
1623568049336.png

Vitu kama hivi vipo Dar nafikiri ndio mawazo yake.
 
New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.

Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.

Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.

New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.

Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.

Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.

Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?

London tu ukisoma ina mashamba 500,

Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Umechanganya New York State ambayo ndani yake ndio kuna New York City.
 
Picha iko wapi ya mistu na mashamba huko New York?
 
Tuweke mashamba ili wewe na vibaka wenzio mpate pa kujificha sio, pole sana, mtu mwenyewe hata kulima hujui !!
 
Brooklyn, Queens, Manhattan, Staten Uptown what now?! let's make it happen!

New York, if you can make it here, you can make it anywhere We still here! And we buildin' four more new towers!

Ay yo I'm from New York man!
Representin N.Y.C. to the fullest
I pull it, Heads be duckin in New York be bussin
Take that.

Welcome To New York mutha fuckas, where we don't play
And out of towners get got like everyday
And a gangstas a gangsta in every way
Sittin on twenty two's this what long money do
Now the don's on it, Diddy shine on it
Tell Flex to run it back and drop a bomb on it
Sunday we layin low and hay lo sippin cris and we straight
Monday we go to Bungalow 8
Tuesday I'm in spa drunk doin the shake
And for the rest of the week we just follow the freaks
You can spot us out of town by the way that we walk
The way that we talk, cocky the state of New York
Hot now top down at the Rucker game
New coup no roof playa what's my name?
 
Mkubwa hiyo ni NY upstate maana ukisema NY watu wanaweza kudhani mpaka Downtown
Nilichogundua ni kwamba kuna watu wengi hawajui tofauti ya New York State na New York City.

New York State is 54,556 mi².

New York City is 302.6 mi²

New York City (five boroughs, Manhattan, Bronx, Queens, Brooklyn and Staten Island) eneo lake ni kama nusu ya mkoa wa Dar es salaam.

New York State, eneo lake ni takriban kama uunganishe mkoa wa Tabora na mkoa wa Morogoro.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom