Kumbe New york City kuna mashamba na Misitu pia?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,792
2,000
New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.

Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.

Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.

New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.

Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.

Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.

Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?

London tu ukisoma ina mashamba 500,

Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
 
Da realest

Member
Jan 12, 2019
79
150

Mkubwa hiyo ni NY upstate maana ukisema NY watu wanaweza kudhani mpaka Downtown
 
Fiati

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
1,493
2,000
New york city ilianzishwa nadhani karne ya 16 huko, kabla hata ya kukoma kwa biashara ua utumwa.

Kinacho Furahisha pamoja na kuwa moja ya Majiji makubwa kabisa Duniani nazani ukitaka top 3 ya majiji makubwa Duniani basi New York imo.

Ila New york ina mashamba na iko kwenye top ten ya miji inayozalisha chakula kingi hasa matunda na pia wana Ranchi za kutosha kabisa.

New York City pia wana misitu, fikiria Jiji lina karine za kutosha ila lina misitu pia.

Njoo Tanzania.
Dar hata Bustani ya kupumzikia hakuna achilia mbali mashamba ambayo kila siku yanakatwa viwanja.

Achana na Dar njoo kwenye miji midogo tu hii eti mashamba hayaruhusiwi mijini, New york ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya Canada ina mashamba na ranch sasa Tanzania kimji ambacho hakina levo hata ya vijiji vya ulaya eti hakuna kufuga wala kulima.

Ni mpuzi gani alitunga sheria kwamba miji isiwe na mashamba wala kufuga?

London tu ukisoma ina mashamba 500,

Miji yetu sio tu Mashamba hata Bustani hakuna, Hakuna Mji wenye Bustani ya maana Tanzania kote kumejaa nyumba.
Muda umefika tufute mkoa wa Pwani ibaki Dar ndo ipakane na Lindi huko kusini na Morogoro kuondoa kasumba ya kubanana Chanika wakati kuna nafasi Masaki ya Kisarawe au Kubanana Mbezi wakati kuna nafasi Kibaha Mpaka Chalinze hakuna dhambi Dar na Pwani kuungana tukawa na jiji moja kama NY.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom