Kumbe na wao wanaogopa nguvu ya umma!!!!!!!!!

Kumbe na wao wanaogopa nguvu ya umma!!!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
Publication1.jpg
Ungependa kimtokee nini huyu kruta???
 
Kuna siku nguvu ya umma itawauma. Ni suala la muda na tumuombe Mungu litokee tukiwa hai.
 
Hawa jamaa wamekubali kutumika na hasira za umma dhidi yao zinazidi kupanda kila siku.

Bora wangeamua leo kuchanganya na zao. Naona waraka wa Mwigamba haukuwasaidia. Ndiyo maana hata dua anazopowa Manumba zinakuwa za kumuwahisha kuzimu.
 
Back
Top Bottom