Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Kumbe MwanaHaki wa JF alishafariki?

Jamaa alishafariki kitambo sana sema nilikuwa shule na nilichelewa kuweka uzi wa kifo chake hapa
 
Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Mohammed Mtoi

Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Hiyo account ya ibra87 kuna mtu anaendelea kuitumia ama ni ubongo wangu ulivurugwa mana nahisi jana niliona hiyo account ikiwa online,nilishtuka kidogo ila cjataka kuwazua sana nikapita tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom