Tutakuchangia
Hahaah hapo hata humu ndani ntakuwa sionekani
Tutakuchangia
Kwema BackPanther. Hayo ndiyo maisha. Hebu inmagine watu woote tungekuwa na mtazomo sawa. Dunia ingekuwa boring.Mwana kwema? Dah kuna siku tulikwaruzana tusameheane dada yangu 😀
Kwema BackPanther. Hayo ndiyo maisha. Hebu inmagine watu woote tungekuwa na mtazomo sawa. Dunia ingekuwa boring.
Majukumu ya kazi Mkuu! Hata sasa nimechungulia tu miezi hii karibu tena nitapotea! Japo tuko pamoja!Hahaa Kabisa mkuu! Tuko pamoja....Kuna kipindi ulipotea kabisa,, nikawa sikuoni...
Majukumu ya kazi Mkuu! Hata sasa nimechungulia tu miezi hii karibu tena nitapotea! Japo tuko pamoja!
Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Mohammed Mtoi
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Mimi sio maarufu jf so siwazi sana if I die jf itakuwaje watajuaje nkPole ndgu na jamaa na marafiki, kifo msikiogope ni hatua ktk maisha.
Ukifa familia yako itajua tu na itatosha!Mimi sio maarufu jf so siwazi sana if I die jf itakuwaje watajuaje nk
Yes karibia na chuo kikuu cha SOKOINEMorogoro nako kuna Kididimo?
Ibra 87 yupo hai au kuna mtu anatumia id yake na kwanini?Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Mohammed Mtoi
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Wapumzike kwa amani
Regia Mrema
Dena Amsi
Chetuntu
Dotto
Ibra87
Mohammed Mtoi
Na wanaJF wengine wote waliotutangulia
Yupo online umeona hapo?Ibra jamani
Aisee
Fungulia kwenye search engine utaona last seen
Hiyo tapatalk inaonesha current time
Kuna mmoja alienifanya nijiunge jf 2011 naye alifariki lakini id take humu sikupata kuifahamu Nina lake halisi aliitwa kedmon mgatta alikuwa o mmoja was viongozi wa daruso enzi za kina mtatiro.Tatizo hizi ID zetu zinafanya tusijue maisha yetu...inaonekana wengi wanakufa ila hatujui kama wanakufa
Huwa App kwa kila mtu inaonyesha hivyo Mkuu hata kama hajaitumia miaka kibao imepita.Ibra 87 yupo hai au kuna mtu anatumia id yake na kwanini? View attachment 986678
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hayo maongezi ya pm umeyapata kwenye profile?Naomba kuuliza nilikuwa napitia profl ya marehem kuna kitu nimekiona hivi hizi ni msg za pm au ??View attachment 986697View attachment 986698
Sent using Jamii Forums mobile app