Kumbe Musukuma ana nguvu kuliko Nape na Makamba ndani ya CCM?

Hali imewaendea vibaya vijana wawili Nape na January Makamba baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha kumbe Askofu Gwajima na darasa la saba Musukuma wana nguvu na uungwaji mkono mkubwa ndani ya ccm kuliko wao.!

Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428

Kubwa lao wote ni mahenda. Amewapiga kisawasawa.
 
kanda ya ziwa ndiyo nini? Huoni aibu jitu zima? Je Mahenda? na Jackson Je? Marehemu amewaharibu kwl utafikiri kanda ya ziwa ni kubwa kulliko Tanzania. Kanda ya ziwa haifiki ht 30% ya population yote. Pili hata hiyo kanda ya ziwa siyo kabila au asili moja. Kagera na Mara siyo washamba km wasukuma na hawana visababa nanyi washamba. Kuna wilya ya Ukerewe. Wasukuma ni mijitu ya hovyo kwl, siku hizi kila kitu kanda ya ziwa. hamuoni hata aibu.

Waambie hao wajinga. Wanalazimisha Kagera na Mara kwenye ujinga wao. Eti Bashungwa ni Sukuma gang?. Wassira je? Chacha Wambura je ? Wanataka kuturudisha kwenye ukabila na ukanda.
 
Hili halikutegemewa kabisa ndani ya CCM hii inayofikiriwa kuwa ipo mikononi mwa wenyewe, watoto wao kupigwa kwa kura nyingi kumewatia hasira sana kiasi cha kutukana watu hovyo.

Lakini wameshinda . idadi ya kura inategemea na wajumbe. Kanda ya ziwa Ina mikoa sita huwezi kulinganisha na Tanga au Lindi kwa Nape au Makamba.

Mbona wassira na Mchome au mahenda wanafanya vizuri lakini kelele hamna?. Uchaguzi ni siasa ila nyie mnataka ionekane ni Vita na visasi.
 
Eti ooh kanda ya ziwa Acheni ushamba nyie muhaya na msukuma wapi na wapi? Mjita na msukuma wapi na wapi? Mkurya na msukuma wapi na wapi? Msijidanganye Eti haya makabila yanawaunga mkono hata wazinza wa sengerema msiwategemee. Wakerewe ndio kabisa wale wanaelewana na ndugu zao wajita. Kama mnataka support ya hayo makabila basi mtu mnaye mtaka atoke hayo makabila na aasiwe msukuma huo ndio ukweli. Ila kuja na gear ya kanda ya ziwa ili kumpitisha msukuma tena kutegemea support ya wajita Wakerewe, wajaluo, wahaya, wakurya wazanaki na wengine ni kujidanganya. Ushauri mjitoe tu Tanzania maana mnaona mnaonewa sana.

Bora umewaambia wanalazimisha wote tuwe wasukuma. Nimewaambia kwenye hayo maukabila yao waitoe Mara na kagera Basi.
 
kanda ya ziwa ndiyo nini? Huoni aibu jitu zima? Je Mahenda? na Jackson Je? Marehemu amewaharibu kwl utafikiri kanda ya ziwa ni kubwa kulliko Tanzania. Kanda ya ziwa haifiki ht 30% ya population yote. Pili hata hiyo kanda ya ziwa siyo kabila au asili moja. Kagera na Mara siyo washamba km wasukuma na hawana visababa nanyi washamba. Kuna wilya ya Ukerewe. Wasukuma ni mijitu ya hovyo kwl, siku hizi kila kitu kanda ya ziwa. hamuoni hata aibu.
Tulia wewe dawa ikuingie vizuri
 
Hali imewaendea vibaya vijana wawili Nape na January Makamba baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha kumbe Askofu Gwajima na darasa la saba Musukuma wana nguvu na uungwaji mkono mkubwa ndani ya ccm kuliko wao.!

Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Hao jmaa hawana jipya ni kubebwa tuu,

Ndio maana uchaguzi wa CC UMEHAIRISHWA hili MSOGA wajipange upya, mambo yameenda ndivyo sivyo.
 
Sawa sisi ni washamba😂,lakini kuhusu ubaguzi umechemka,, vijana wa kisukuma wamejichanganya kona zote za nchi na wanaoa kabila lolote lile,,
🤷🏼‍♂️,,

👏👏👏 hongera kwa kuwa muwazi.
 
Back
Top Bottom