Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,755
- Thread starter
- #61
Ni below 45Kwa nini mnawaita Nape na January vijana??
Ni below 45Kwa nini mnawaita Nape na January vijana??
Kanda ya ziwa gang ndio waliopata kura nyingiHali imewaendea vibaya vijana wawili Nape na January Makamba baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha kumbe Askofu Gwajima na darasa la saba Musukuma wana nguvu na uungwaji mkono mkubwa ndani ya ccm kuliko wao.!
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Kweli kabisaKanda ya ziwa gang ndio waliopata kura nyingi
DaahNi below 45
Umepaniki Mzee. Wasukuma tu 30% note Sukuma na Nyamawezi ni moja. Sukuma ni Majority mikoa Sita kati ya 26 ya Tz Bara.kanda ya ziwa ndiyo nini? Huoni aibu jitu zima? Je Mahenda? na Jackson Je? Marehemu amewaharibu kwl utafikiri kanda ya ziwa ni kubwa kulliko Tanzania. Kanda ya ziwa haifiki ht 30% ya population yote. Pili hata hiyo kanda ya ziwa siyo kabila au asili moja. Kagera na Mara siyo washamba km wasukuma na hawana visababa nanyi washamba. Kuna wilya ya Ukerewe. Wasukuma ni mijitu ya hovyo kwl, siku hizi kila kitu kanda ya ziwa. hamuoni hata aibu.
Umenena vyema sanaUmepaniki Mzee. Wasukuma tu 30% note Sukuma na Nyamawezi ni moja. Sukuma ni Majority mikoa Sita kati ya 26 ya Tz Bara.
Mza
Shy
Simi
Geita
Tabo
Katavi
Sasa Kanda ya ziwa ni Almost 40% ya Tz by population
Kenge mwenyewe. Wasukuma hawapati Rais, Rais wanapata waTanzaniakm msukuma? MNEC tu mnaweweseka. Hamtapata tena rais kenge nyie.
Mpe elimuKenge mwenyewe. Wasukuma hawapati Rais, Rais wanapata waTanzania
We undhan urais unakuja Kwa nguvu ya ushawishi... Lowasa angekuwa presidaaa... Kuna kujisstem kapo Chino kamejichimbia..hta wewe unaweza kuwa rais kakiamuaHali imewaendea vibaya vijana wawili Nape na January Makamba baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha kumbe Askofu Gwajima na darasa la saba Musukuma wana nguvu na uungwaji mkono mkubwa ndani ya ccm kuliko wao.!
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
😂😂😂 Huyu anayeongelea jambo kwa kujiamini alafu baadaye anaomba msamaha marambilimbilAu Haji Manara.
Huyu anayeongelea jambo kwa kujiamini alafu baadaye anaomba msamaha marambilimbil
Etwege bado hujafunguliwa tu ban yako