Hivi vi-thread ndiyo tunaviitaga havina mashiko. Yaani mtu amekosa wa kupiga naye stori kwahiyo anaona kupost vitu visivyoeleweka ili muda uende.
Hii kali, lakini ndivyo ilivyo kwani angalia kama umeoa na mke wako anafanya kazi, umewahi sikia kuwa mwezi huu mwanamke atatoa angalau chakula tu. Hata kama anamshahara na anausafiri wa kwenda kazi mume ndio atamjazia mafuta katika gari hilo.
Duuu... U should be HR or administrator somewhere kwa wahindi....
mmmh mwajiri akikugundua huna kazi, unaanza kutoa siri za watumishi ???? wewe ni mtu hatari, unaweza kudhani ni kitu kidogo kutoa taarifa hizi lakini zikiwafikia walengwa unaweza kuleta mtafakaruku katika familia, be carefulNilikuwa na kazi maalum ofisini kwetu nikapata fursa ya kufanya "utafiti" ambao nilikusanya data zifuatazo:
Ofisi yetu ina wafanyakazi wanawake 42, na wanaume 72
Wanawake walioolewa ni 31, wasio katika ndoa ni 11
Wanaume walio ktk ndoa ni 62 wasio ktk ndoa ni 10 (wote madereva)
Kati ya wanaume 62 waliooa, 49 wameandika wake zao kama "next of kin", 1 ameandika dada yake, 1 ameandika kaka yake na 11 wameandika watoto wao.
Kati ya wanawake 31 walio ktk ndoa, 1 ameandika mumewe kama "next of kin", 3 wameandika dada zao na 27 wameandika watoto wao.
Conclusion: 97% ya wanawake walio katika ndoa huchukulia waume zao kuwa ni mabuzi tu!!