Kumbe mpoto ni "Mweupe" kiasi hiki

Kumbe mpoto ni "Mweupe" kiasi hiki

Joined
Aug 14, 2025
Posts
14
Reaction score
54
Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.

Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto wetu shule. Sijui nani alikuwa anamuandikia mashahiri ya zile nyimbo zake zilizovuma saana kipindi kile...aisee jama mtupu kabisa!!
 
Hakuna chawa mwenye akili timamu
 
Kwenye hayo mahojiano waliongelea nini? Wapi alipokosea? Kwa mtazamo wako usahihi ni upi?
 
Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.

Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto wetu shule. Sijui nani alikuwa anamuandikia mashahiri ya zile nyimbo zake zilizovuma saana kipindi kile...aisee jama mtupu kabisa!!
Jikaze basi..ndo nini sasa namna hii?
 
Suala la utekaji raia raisi anahusika ni amiri jeshi Mpoto fala alisema raisi hausiki
 
kuna sehemu alisema rais anahusikaje na mambo ya watu kutekwa
 
Misuli ya ubongo hufanya kazi kutokana na mazoea na mazingira ya taifa letu!

Kama siasa imepewa kipaumbele kama KAZI ilipayo mapesa mengi Hadi mama,mtoto Hadi baba wote wanalipwa mafao ya kisiasa unafikiri nani ataumiza kichwa kufikiri nje ya box!!?

Wote tutasifu wanasiasa na kujipendekeza kwao coz ndivyo taifa lilivyo finyangwa!!

KAZI na utu tunasongambele!!
 
Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.

Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto wetu shule. Sijui nani alikuwa anamuandikia mashahiri ya zile nyimbo zake zilizovuma saana kipindi kile...aisee jama mtupu kabisa!!
Basi unaweza kukuta povu lote hili kisa hajaunga mkono ule ushoga wa n.r.n.e 🤣🤣🤣

Nyumbu bwana!!
 
tatizo ni moja tu ukishakuwa hukubaliani misimamo ya jambo fulani lazima watetezi wa upande ule lazima uwaone weupe. Mathalan kwa wanasheria wengi nguli sasa hivi wanamuona Lissu ni mweupe kwenye sheria badala ya kujitetea kwa hoja za kisheria yeye anatafuta huruma na kufanya harakati mahakamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom