Kumbe mmeuchapa usingizi?

Kumbe mmeuchapa usingizi?

Mihimiri ya CCM imenyauka
Hizi ni Siku za mwisho za utawala wao Haramu
Ubabe umeshindwa
Wizi umeshindwa
Uongo umeshindwa
Hongo ya Fedha imeshindwa mbaya kabisa
Akili na Roho zao pia zimeshindwa
Wamebaki na magari ya fahari,mashati ya kijani na matusi midomoni.

POLICE FFU na UWT ninyi mnatumiwa kama vijiko vya chipsi, nasema ole wenu hasa ninyi wakuu wenye madoa mabegani.

Ushindi wa CDM Arumeru si ushindi wa wana Arumeru tu bali ni ushindi wa Wanyonge wote nchini Tanzania
Ushindi wa CDM Arumeru ni ukurasa mpya katika mapambano ya kuiondoa CCM madarakani.
Ushindi wa CDM Arumeru ni Tunu ya UTU kwa wazalendo wote Tanzania
Ushindi wa CDM Arumeru ni Nguvu mpya ya kuchochea mapambano ya kuondoa unyonge na aibu Tanzania
Ushindi wa CDM Arumeru ni pigo kwa CCM na vibaraka wake wa nje na ndani wafanyao Tanzania shamba la BIBI
Ushindi wa CDM Arumeru ni Pigo la moyo kwa Edward Lowassa na wapambe wake
Ushindi wa CDM Arumeru ni Jibu sahihi la majibu ya dharau na matusi yote ya nguoni toka kwa Makomredi wa CCM
Ushindi wa CDM Arumeru ni sababu tosha ya kila mpigania Haki,heshima,Usawa na Maendelea Tanzania kujaa Ari na nguvu mpya
Ushindi wa CDM Arumeru ni ni fundisho kwa CCM kwamba Ubaya haulipi na wema ni Tuzo ya dhahabu.

ALUTYE PE NDI NYWAA UWULASI :first: mapambano bado yanaendelea

Vox Populi Vox Dei Regnat Populus - SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU ACHA WENGI WATAWALE.
 
Ushindi wa haki dhidi ya dhulma
Ushindi wa Sera dhidi ya Matusi
Ushindi wa busara dhidi ya Kibri!
 
Nani alale? Nayamani niwe huko nimwangalie Nape na Lusinde usoni, ninajua wameisha sepa. ila kwanzia sasa wana JF majina yatakayowafaa hawa ni kama ifuatavyo
1. Nape Nnawiye siyo vuvuzela tumwite DENGE JINGA NAPE.
2. Livistone Lusinde kavuliwa hadhi ya kuitwa mheshimiwa ataitwa MSHENZI L. Lusinde
3. Mkapa hana hadhi tena ya kuitwa rais mstahafu ataitwa FISADI MKAPA MKOMBA MBOGA.
4. Mzee Mwinyi tumwite MHESHIMIWA SANA ,RAIS MSTAATU ALI HASSAN MWINYI, maana tumemjazia na uheshimiwa uliokuwa wa Mkapa

Naomba kuwasilisha.
 
Jamani bado tu? Siku hizi za mwishoni hata Mgosi Mgeni Wetu amepotea kabisa! Haleti tena taarifa, sijui kanunuliwa?
 
Pamoja na mabomu yaliyounguruma usiku kucha huku Meru, haijawezekana kuwasogeza wananchi hata milimita moja!
Meru wanastahili kuvishwa tuzo ya uvumilivu!
 
Dah kweli wao wako na pesa si na mungu!msimamizi mkuu anachelewesha furaha si atangaze?HAKI YA MUNGU SAFARI HII HAIBIWI MTU USHINDI MPAKA KIELEWEKE-MH Mbowe aka kamanda mkuu.
 
utafiti wakati wakipindi cha uchaguzi huu juu ya memba wa jf;
je kuna wangapi waliojiunga na jf?
je kuna wa wangapi waliopigwa ban?
na je kuna wangapi wamedharauliana humu jamvini?

mwenye data please atoe majibu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom