Machingafx
Senior Member
- Sep 25, 2026
- 131
- 161
Jana nimelala usingizi mnono baada ya kufua mashuka yangu niliyokua nimelalia wiki mbili mfululizo..m😃😃
ok.🐒Jana nimelala usingizi mnono baada ya kufua mashuka yangu niliyokua nimelalia wiki mbili mfululizo..m😃😃
TikTok wamuachie nanigen z fikiria hata kununua robo eka viwangwa upande nanasi
Yaani hawa ni kisangaTikTok wamuachie nani
Kuna jamaa akinunua shuka hazifuliwi hadi apate demu mpyaJana nimelala usingizi mnono baada ya kufua mashuka yangu niliyokua nimelalia wiki mbili mfululizo..m😃😃
Una mashuka mawili tu kama mfungwa wa "maximum security"Jana nimelala usingizi mnono baada ya kufua mashuka yangu niliyokua nimelalia wiki mbili mfululizo..m😃😃
gen z fikiria hata kununua robo eka viwangwa upande nanasi
Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe nadhifu ili uwe na akili timamu bwashee 😀
TikTok wamuachie nani
Kuna jamaa akinunua shuka hazifuliwi hadi apate demu mpya
Una mashuka mawili tu kama mfungwa wa "maximum security"
Wewe mhehe una vituko 😆😆😆😂😂gen z fikiria hata kununua robo eka viwangwa upande nanasi
Unafua shuka...unasubiri likauke ndipo utandike tena kitanda...!!!Au we manetu ghetto kwako hamna mashuka?? Unalala chini au??