Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,175
Reaction score
48,459
Leo nimekutana na mwanazuoni mmoja mbobevu kwenye masuala ya dini amenihakikishia kuwa hakuna hata mtu mmoja mitaani mwenye Biblia au Quran halisi.

Mwanazuoni huyo kaniambia mitaani kuna nakala tu za vitabu hivyo wala si vitabu halisi. Kaniambia ni uchochezi wa kidini tu kuzitakatifusha hizo nakala kama ni vitu vitakatifu.

Kasema kiuhalisia nakala hizo zinatokana na vitabu halisi lakini zenyewe siyo vitabu halisi. Kasema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Biblia au Quran halisi.

Kazi ipo.
 
We jamaa siku hizi sijui umekuwaje,mada za dini achana nazo zinaukakasi wewe sio mbobevu
 
Back
Top Bottom