Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,121
- 136,871
Wala hajanivutia kabisa.
Namwona kama mchekeshaji (comedian) vile.
Namwona kama mchekeshaji (comedian) vile.
Kama babako ni mvuvi atakufundisha kuvua nawe utakuwa mvuvi.
Wala hajanivutia kabisa.
Namwona kama mchekeshaji (comedian) vile.
Nani anayekuvutia?Wala hajanivutia kabisa.
Namwona kama mchekeshaji (comedian) vile.
Wala hajanivutia kabisa.
Namwona kama mchekeshaji (comedian) vile.
Ngabu bwana! Je angekuwa Jeb Bush ingesemaje?
Yetu macho na masikio.
Ninachotaka mimi ni kiongozi bora bila kujali anatoka wapi na ana jina gani.
ila sijaona ambacho ameonngea zaidi ya pumba na ushabiki shabiki tu . badla ya kujadili hoja yeye anajadili watu. angeenda kujiuza na si kuwapiga madongo wenzake. kiukweli anaonekana ni mhuni mhuni tu hana uwezo wowote basi tu. labda ccm iamue kumbeba.... na hata angefanana na nyerere bado si sifa tunayoitaka.,kama sautu inafanana na nyerer sisi inatusaidia nini? kwan sisi tunataka mwigizaji wa sehemu ya kuongea nyerere wenye movie? aende zake huko ...mhuni mhuni tu chapombe na hajaonge hoja yoyote zaidi ya kufanya ucomedy.
ila sijaona ambacho ameonngea zaidi ya pumba na ushabiki shabiki tu . badla ya kujadili hoja yeye anajadili watu. angeenda kujiuza na si kuwapiga madongo wenzake. kiukweli anaonekana ni mhuni mhuni tu hana uwezo wowote basi tu.
labda ccm iamue kumbeba.... na hata angefanana na nyerere bado si sifa tunayoitaka.,kama sautu inafanana na nyerer sisi inatusaidia nini? kwan sisi tunataka mwigizaji wa sehemu ya kuongea nyerere wenye movie? aende zake huko ...mhuni mhuni tu chapombe na hajaonge hoja yoyote zaidi ya kufanya ucomedy.
Kwa jambo hili mfano wa marekani ni sahihi kabisa kwa watu wenye fikra mgando kwa watoto wa viongozi wastaafu kugombea. Je ukiwa mtoto wa mhandisi ni dhambi kurithi kazi ya mzazi kama una sifa? Tuache ukenge..hivi mwanaume gani lijari ambaye hapendi wanawake? Msitufundishe ushoga..p.
Kipimo hasa cha utendaji wake tunaweza kuona wapi?
uyu jamaa mi ndo sijamwelewa chochote,, anapenda story,,,anapiga vijembe tu wenzake
Wala hajanivutia kabisa.
Namwona kama mchekeshaji (comedian) vile.
Umesikia kicheko chake?Sentensi kumi za Makongoro Nyerere kuhusu yeye na wanawake, ulevi na kutangaza nia (Sauti)..
View attachment 256683
Headlines zenye stori za Siasa zimeendelea kutawala. Makongoro Nyerere ni Mbunge anaewakilisha TZ kwenye Bunge la Afrika Mashariki, nae alikuwa nyumbani kwao Butiama, hapa nimenukuu sehemu ya kile aichokisema akiwa huko.
Nina nia ya kutangaza nia lakini bado sijatangaza nia kwanza tuzungumze kuhusu utaratibu wa CCM. Mkutano Mkuu utakaa tarehe 11 na 12 June ili kuisikia Rasimu ya Chama, kuithibitsha na kuipitisha Sizuki na kuanza kuzungumza kabla ya ilani ya Uchaguzi.. Wanaoamua nani awe kiongozi sio huku kwenye Chama, ni Watanzania Makongoro Nyerere.
Kwenye sentensi nyingine akasema hivi kuhusu wale wanaomzungumzia Huyo mtoto wa Nyerere huyo ni mlevi kweli mmewashtukia au vipi??. Huyo mtoto wa Nyerere huyo anapenda wanawake kweli.. sasa mlitaka nipende wanaume? Nawapenda kweli na mimi nashukuru MUNGU mnanipenda kweli Makongoro Nyerere.
Makongoro Nyerere akamalizia hivi CCM sio chama cha vibaka, ni chama cha walio wengi.. wakulima na wafanyakazi.. turudishieni chama chetu, mnaenda nacho wapi? Kufanya nacho nini? Alafu sisi mtuache wapi?
Utamsikiliza kwa urefu zaidi kila alichokisema kwenye sauti hii (hapo chini) mtu wangu;
View attachment 256682
Chanzo: Millardayo.com