Kumbe Makongoro anaongea kama baba yake?

Kumbe Makongoro anaongea kama baba yake?

ila sijaona ambacho ameonngea zaidi ya pumba na ushabiki shabiki tu . badla ya kujadili hoja yeye anajadili watu. angeenda kujiuza na si kuwapiga madongo wenzake. kiukweli anaonekana ni mhuni mhuni tu hana uwezo wowote basi tu.

labda ccm iamue kumbeba.... na hata angefanana na nyerere bado si sifa tunayoitaka.,kama sautu inafanana na nyerer sisi inatusaidia nini? kwan sisi tunataka mwigizaji wa sehemu ya kuongea nyerere wenye movie? aende zake huko ...mhuni mhuni tu chapombe na hajaonge hoja yoyote zaidi ya kufanya ucomedy.

Naona hajamsikiliza toka mwanzo na hujui taratibu za ccm. Na hata akimwaga sera hapo wewe huna uwezo wa kumsimamisha kugombea Urais

Huu ni mkutano wa kutangaza nia na kuomba nafasi ya kugombea Urais kupitia ccm, sio mkutano wa kumwaga sera na kuomba kura.

Subiri apitishwe na ccm kugombea Urais ndio uanze kuhoji sera zake, kumbuka mgombea yoyote anaongozwa na Ilani ya chama.

Au unataka kudanywa kama Wasira anaesema jembe la mkono litakuwa hostoria Tanzania ndani miaka mitano, wakati sasa hivi ni waziri wa kilimo hana mwongozo wowote ule wa maana.

Au unataka sera kama za Mhongo kuwa kila nyumba Tanzania itakuwa na bomba la gesi.?
 
uyu jamaa mi ndo sijamwelewa chochote,, anapenda story,,,anapiga vijembe tu wenzake
 
Natamani Lowasa aseme atakamata mafisadi wote siku akichukuwa form
 
"Simba hazai Fisi" - Chifu Wa Wazanaki
 
ila sijaona ambacho ameonngea zaidi ya pumba na ushabiki shabiki tu . badla ya kujadili hoja yeye anajadili watu. angeenda kujiuza na si kuwapiga madongo wenzake. kiukweli anaonekana ni mhuni mhuni tu hana uwezo wowote basi tu.

labda ccm iamue kumbeba.... na hata angefanana na nyerere bado si sifa tunayoitaka.,kama sautu inafanana na nyerer sisi inatusaidia nini? kwan sisi tunataka mwigizaji wa sehemu ya kuongea nyerere wenye movie? aende zake huko ...mhuni mhuni tu chapombe na hajaonge hoja yoyote zaidi ya kufanya ucomedy.

Hata masanja mkandamizaji anavigezo vya ufanano name kuongea kama Mzee mchonga lkn hana sifa za kuwa mteule wa kugombania uraisi.
 
Naona wengine wote wakiongozwa na jambazi sugu lowasa walikuwa wameweka hotuba zao kwenye mapamfleti makubwa km mikeka. Ni makongoro tu aliyetoa hotuba bila kusoma.......
 
LIKUD

Hana jipya mkuu,hata mtu yeyote wa kijiweni anaweza kuongea hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kipimo hasa cha utendaji wake tunaweza kuona wapi?

ubunge wa east afrika, ubunge nccr, mwenyekiti ccm musoma au ulitaka apewe uwazili ajiunge na genge la wapiga dili? au ulitaka apewe ukuu wa mkoa kwa lengo la kukandamiza upinzani?
 
uyu jamaa mi ndo sijamwelewa chochote,, anapenda story,,,anapiga vijembe tu wenzake

Hujamwelewa kwasababu hauelewi.Mako anaongea kifalsafa mno sasa kama wewe una tikiti kamwe hutamwelewa.Umenikumbusha wakati nasoma undergraduate tulianza semisiter ya mwaka Wa kwanza bila kufundishwa na Profesa yeyote mpaka tuliporudi semi ya pili.

Ndo tukaanza kukutana na maprof,kwa mara ya kwanza alikuja kutoa mhadhara wa saa zima,lakini kusema ukweli lecture ilikuwa ngumu mno,haikueleweka kabisa,watu waliishia kuandika heading basi,mie niliandika mistari miwili tu.

Tulivyotoka nje sote tukaulizana kama kuna aliyeandika notes,ilikuwa shida mpaka tulipoletewa machapisho ya mhadhara kwenye madesa ndo tukamwelewa Le Prof.Nikajifunza kitu,kumwelewa mtu inategemeana sana na uelewa wako mwenyewe ni wa kiasi gani,kama ni soft mind basi utatoka ulivyoingia.
 
Ivi ni serious kabisa Mako ndo kaandaliwa?ngoja nichulie kama stori za magaidi ya Amboni
 
hatuwezi kuongozwa na wajinga kisa babazao walifanya makubwa kwenye hii nchi,ukimzungumzia George Bush junior au Jeb nitofauti sana na Makongoro na Riziwan...!!!hamuwezi hata siku moja kutumia mifano mfu ya Marekani kuileta Tanzania..!!!Bongo land we need more equal opportunities..!!!mnataka tumalize karne bado tuko chini ya utawala wa familia
 
Kama babako ni mvuvi atakufundisha kuvua nawe utakuwa mvuvi.
 
Kama babako ni mvuvi atakufundisha kuvua nawe utakuwa mvuvi.

Hizo ni nomino za nahau hufanya kazi pale kwenye mtazamo chanya,tatizo ccm hii wanapenda kuwa changanya sana watanzania na ndio maana nchi hii mpaka leo haieleweki,kila raisi anae toka anaacha chuki kubwa sana kwa wananchi kwasababu ya maamuzi na matakwa ya watu fulani..CCM tutapiga tena kura kwa hasira kama tulivyofanya 2010 itawaghalim
 
Binafsi nimeanza kumfuatilia huyu mtoto wa Baba Taifa,naamini anatofauti na wana CCM wote, kwanza alinifurahisha kumpa live JK kuwa anawapenda sana rafiki zake, huyu naamini ana maamuzi magumu zaidi ya yale Lowasa anayopigia kelele, tumpeni muda, tumsikilize na kumfuatilia huenda tukapata kitu.........ila niweke wazi kabisa pamoja na kumfuatilia na kumsikiliza mimi na UKAWA, UKAWA NA MIMI.
 
ubunge wa east afrika, ubunge nccr, mwenyekiti ccm musoma au ulitaka apewe uwazili ajiunge na genge la wapiga dili? au ulitaka apewe ukuu wa mkoa kwa lengo la kukandamiza upinzani?

Mwanajeshi mstaafu...............alipigana ita vya Uganda kwa miaka miwli.!!!!!!
 
Binafsi nimeanza kumfuatilia huyu mtoto wa Baba Taifa,naamini anatofauti na wana CCM wote, kwanza alinifurahisha kumpa live JK kuwa anawapenda sana rafiki zake, huyu naamini ana maamuzi magumu zaidi ya yale Lowasa anayopigia kelele, tumpeni muda, tumsikilize na kumfuatilia huenda tukapata kitu.........ila niweke wazi kabisa pamoja na kumfuatilia na kumsikiliza mimi na UKAWA, UKAWA NA MIMI.

Tuko sawa sawa mkuu,kwetu ni Ukawa ila mpaka sahivi chama cha CCM kina mtu mmoja,Makongoro anajiamini sana,hopefully anaweza hata kama atakuwa ana mapungufu mengine ya kibinadamu,leo hii watanzania tunasumbuliwa na rushwa tu na anahitajika wa kufight rushwa,only that.
 
Back
Top Bottom