Detective Jeff
Senior Member
- May 22, 2015
- 127
- 14
haita kaa itokee hiyo... mgeni wenu
Last edited by a moderator:
Tuko sawa sawa mkuu,kwetu ni Ukawa ila mpaka sahivi chama cha CCM kina mtu mmoja,Makongoro anajiamini sana,hopefully anaweza hata kama atakuwa ana mapungufu mengine ya kibinadamu,leo hii watanzania tunasumbuliwa na rushwa tu na anahitajika wa kufight rushwa,only that.
ila sijaona ambacho ameonngea zaidi ya pumba na ushabiki shabiki tu . badla ya kujadili hoja yeye anajadili watu. angeenda kujiuza na si kuwapiga madongo wenzake. kiukweli anaonekana ni mhuni mhuni tu hana uwezo wowote basi tu.
labda ccm iamue kumbeba.... na hata angefanana na nyerere bado si sifa tunayoitaka.,kama sautu inafanana na nyerer sisi inatusaidia nini? kwan sisi tunataka mwigizaji wa sehemu ya kuongea nyerere wenye movie? aende zake huko ...mhuni mhuni tu chapombe na hajaonge hoja yoyote zaidi ya kufanya ucomedy.
Unatumia vigezo gani kusema mtu anafaa. Yaani kuongea tu kunakufanya uone mtu anafaa. Why are we so cheap..any one can talk. Issue ni track record na manifestos. Hatutaki experiment kwenye uraisi!!!
Yupi unaeona wewe anafaa na ueleze hizo record zake.
kwa hiyo anafaa kwa kuwa hakuna anayefaa??
Unatumia vigezo gani kusema mtu anafaa. Yaani kuongea tu kunakufanya uone mtu anafaa. Why are we so cheap..any one can talk. Issue ni track record na manifestos. Hatutaki experiment kwenye uraisi!!!
sawa kabisa, watz tena tunaenda kuchagua jina,kisa nyerere.Makongoro is nt presidential material, how can we justify makongoro is capable? Kuna vitu gan kafanya angalau kwa uwezo wetu tum judge anaweza urais? Jaman tusijaribu sumu kwa kuilamba,eti kisa mtoto wa nyerere,