Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

Za mida wajumbe?

Kuna friend of mine hapa ananipa mchapo akitaka kujua afanye nini.

Ana binti aliyenaye katika mahusiano kwa miaka kadhaa sasa. Kijana anasoma ila ana gratuate this year. Binti kamkaba jamaa wafunge ndoa jamaa naye kaona ni sawa kwani kaona binti amepass viwango kuwa naye kimaisha ila jamaa anakwama sehemu moja ana ajira somewhere ya mkataba na analipwa 80% ya mshahara kwa mwezi kwa sababu kiwango chake cha elimu hakijafikia lengo la mshahara kamili.

Kwa hili binti akamtia moyo kuwa asijali kabisaaa kwani kwao mahari anataja binti na akamhakikishia kuwa haitazidi laki tano ama sita jamaa kwa kuona hivyo na kwa kuzingatia umri wa ampendaye unamtupa mkono akajitosa binti akawakusanya ndugu zake wengi kuwapa taarifa kuwa amepata mchumba in short jamaa anamuuliza binti ampe siri ndg wanataka kiasi gani ili awaelezee washenga watakapo kwenda wajue kiasi binti anamwambia jamaa ajiandaye kwa milioni moja na nusu khe jamaa kasara mbaya ukitegemea ni miezi kama mitano tu imebaki kwao kufunga ndoa.

Binti ni form four failure ila anakibarua mkoa mwingine mbali jamaa mawasiliano ni Simu tu. Jamaa akawa kimya akajikunja kwani wazazi wa binti waligomea hapo hawataki chini ya hapo.

Jamaa amekubali. Sasa wameenda kwenye swara la Pete ya engagement binti anataka ya dhahabu si chini ya gramu mbili jamaa anamsihi amsaidie japo kidogo binti anagoma kwa kusema nini maana ya kuwa engaged?. Anamwambia wanunue Pete ya silver anamwambia ataiweka kwenye kidole cha nani?

Sasa hivi wamebakiza siku chache jamaa akatoe hiyo mahari anamwambia binti amsaidie pesa kidogo za kununulia vitu vya kuwapa wazazi wake kama blanket na kanga binti anawaka ile mbaya kuwa hata kuwa na amani kabisa akiwa ndani ya ndoa akifanya hivyo.

Jamaa hana hamu naye ananiomba ushauri hapa kwani kaamkia kwangu asubuhi hii akitaka kuniuzia boda boda yake ama niichikue bond. Ushauri tafadhari Wajumbe.

Mnisamehe kwa uandishi sio mzuri.

mpaka nimeumia......naona kama ni mm vile yananitokea
 
huyo demu bikra?

Aaa wapi aitoe wapi?. Angalau hata angekuwa bikra Mara mia . Nina rafiki mwingine anafunga ndoa mwaka huu. Kaenda vijijini kaopoa standard seven kitu kibichi na kiko bado karatasini hakijaguswa kwa laki sita tu pungufu anaongea . Tunakalia na baadhi wa mjini wenye akili kama za huyu. Pyuuu!.
 
mapema hivi anapelekeshwa hvyo...je uko ndani si atakuwa bushoke....
 
Yaani Mkuu umeshindwa kulipa mahari mpaka unataka binti ajilipie mahari? Hii ni mpya, yaani binti ajichumbie mwenyewe? Kazi boot Mkuu uliyataka mwenyewe!
binti ndiyo analazimisha ndoa sasa kama jamaa hana uwezo na yeye analazimisha si ajilipie baadhi ya gharama ili aipate hiyo ndoa.......
 
Hakuna Mke Hapo, Huyo Demu Ni Kibaka Mkubwa, Mchizi Ampotezee tuu..
 
Mapema sana dalili zimeonekana nikijiweka mimi hapo hata sifikirii kusitisha hiyo ndoa.
 
Last edited by a moderator:
pole yake,hadi siku ya ndoa ifike atakuwa kauza hadi nguo zake atabaki kama alivyozaliwa,amwambie huyo dada kama hataki kufanya atakavyo yeye basi atahairisha ndoa,huyo dada ana tamaa ya kutaka vitu vilivyo nje ya uwezo wao
 
Huyo mdada hana mapenzi ya kweli na huyo kaka na hata kama atamuoa atamsumbua sana kwenye maisha yao ya Ndoa,ushauri wangu kwa huyo kaka,ahairishe hilo tukio kwavile lipo nje ya uwezo wake na ajipange umpya,kuliko kuanza kuuza pikipiki ambayo labda ilikua inamuongezea kipato chake, ASIKURUPUKE.
 
Za mida wajumbe?

Kuna friend of mine hapa ananipa mchapo akitaka kujua afanye nini.

Ana binti aliyenaye katika mahusiano kwa miaka kadhaa sasa. Kijana anasoma ila ana gratuate this year. Binti kamkaba jamaa wafunge ndoa jamaa naye kaona ni sawa kwani kaona binti amepass viwango kuwa naye kimaisha ila jamaa anakwama sehemu moja ana ajira somewhere ya mkataba na analipwa 80% ya mshahara kwa mwezi kwa sababu kiwango chake cha elimu hakijafikia lengo la mshahara kamili.

Kwa hili binti akamtia moyo kuwa asijali kabisaaa kwani kwao mahari anataja binti na akamhakikishia kuwa haitazidi laki tano ama sita jamaa kwa kuona hivyo na kwa kuzingatia umri wa ampendaye unamtupa mkono akajitosa binti akawakusanya ndugu zake wengi kuwapa taarifa kuwa amepata mchumba in short jamaa anamuuliza binti ampe siri ndg wanataka kiasi gani ili awaelezee washenga watakapo kwenda wajue kiasi binti anamwambia jamaa ajiandaye kwa milioni moja na nusu khe jamaa kasara mbaya ukitegemea ni miezi kama mitano tu imebaki kwao kufunga ndoa.

Binti ni form four failure ila anakibarua mkoa mwingine mbali jamaa mawasiliano ni Simu tu. Jamaa akawa kimya akajikunja kwani wazazi wa binti waligomea hapo hawataki chini ya hapo.

Jamaa amekubali. Sasa wameenda kwenye swara la Pete ya engagement binti anataka ya dhahabu si chini ya gramu mbili jamaa anamsihi amsaidie japo kidogo binti anagoma kwa kusema nini maana ya kuwa engaged?. Anamwambia wanunue Pete ya silver anamwambia ataiweka kwenye kidole cha nani?

Sasa hivi wamebakiza siku chache jamaa akatoe hiyo mahari anamwambia binti amsaidie pesa kidogo za kununulia vitu vya kuwapa wazazi wake kama blanket na kanga binti anawaka ile mbaya kuwa hata kuwa na amani kabisa akiwa ndani ya ndoa akifanya hivyo.

Jamaa hana hamu naye ananiomba ushauri hapa kwani kaamkia kwangu asubuhi hii akitaka kuniuzia boda boda yake ama niichikue bond. Ushauri tafadhari Wajumbe.

Mnisamehe kwa uandishi sio mzuri.

mwmbie hivi kama kweli anapendwa na hyo bnt
1.ampunguzie mahari
2. asimpangie masharti ya pete
3.aende huko anakofanya kazi kwa kumshtukiz
akikata hayo mawili huyo bnt asiioe
 
Mimi pia naweza msaidia mtu katika Mambo mengine ata asiponivisha pete haina shida ilmrad tumependana...... ila kumsaidia eti kunitolea mahari uwiii siwezi ntakua najichumbia.... kijana kama Mambo hayajakaa sawa atulie kwanza atafute pesa.
 
maisha yamebadilika siku hizi... kusaidia kiasi cha mahari sio issue kabisa labda ka unaozwa kwa elfu tisini!!! jifunze kupenda, ka vitu vidogo ka hivi vitakushinda huko mbeleni itakua shida zaidi
 
Ntafanya na kumsaidia sana tu but si wakati wa kunichumbia better hata nkaongea na wazazi wampunguzie o atoe kwa awamu ila Mie kujitolea mahari never!!
 
Mimi pia naweza msaidia mtu katika Mambo mengine ata asiponivisha pete haina shida ilmrad tumependana...... ila kumsaidia eti kunitolea mahari uwiii siwezi ntakua najichumbia.... kijana kama Mambo hayajakaa sawa atulie kwanza atafute pesa.

hah hah hii imenigusa asee.. kuna mtu anadai tuchange nusunusu atoe mahari kwetu..hapa anatishia kuniacha kwa ishuz za mshahara.. hata pete sijavishwa, ndani sijawekwa ANAPIGIA MAHESABU MSHAHARA WANGU... ooh noo noo nooo.!!! no kubwa.
 
Aaa wapi aitoe wapi?. Angalau hata angekuwa bikra Mara mia . Nina rafiki mwingine anafunga ndoa mwaka huu. Kaenda vijijini kaopoa standard seven kitu kibichi na kiko bado karatasini hakijaguswa kwa laki sita tu pungufu anaongea . Tunakalia na baadhi wa mjini wenye akili kama za huyu. Pyuuu!.

Hahaha pungufu mnaongea au sio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom