Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

Mwanangu we ni mwanaume mchulie jamaa kama ni ndugu yako....je ungemuacha amuoe huyo binti?
Kiukweli hapo hamna ndoa na atamsumbua sana huyo jamaa!

Jamaa yuko njia panda hapo awali hadi hivi sasa binti anaonesha upendo kwa jamaa ila hili ndilo linalomstua jamaaa amekubali la Pete amechukua vipimo vya kidole tiari Leo ndio nilikuwa nampeleka kwa sonata ila nimemshauri aache kwanza tumtathimini binti kwanza . Maana kama huu ni mwanzo kweli jamaa ataiona hela mwanamke ndani ya nyumba?. Anamwambia ati huko mbeleni watasaidiana ila si katika hili mh!. Kweli kuna future hapo?. Alafu anampiga jamaa ban asiombe ushauri kwa rafiki zake Bali mambo wayamalize wao wenyewe mh!. Ama anadhani friend wangu hawezi back out?.
 
Kama bado hajaolewa ni hivo tu akiolewa itakua ni wajibu wa mwanaume asilimia mia kutimiza matumizi ya nyumbani mwanaume hatakua na uhalali wa kuhoji mshahara wa mke wake
 
  • Thanks
Reactions: J C
hapo hamna mke kaka,mshkaji wako amebug.Hicho anachokionesha sasa huyo binti ndo tabia yake halisi,na huenda hajayakunjua full makucha yake,kimbembe akishafunga naye ndoa.Aachane na mipango hyo kwa sasa,ajijenge then atafute mwanamke mwingine wa kuoa,SIO HUYO TENA!

Asante mjumbe. Anasoma hivi sasa Mimi sijaanza funguka bado hata kidogo nawasoma wajumbe kwanza. Nikianza kufunguka nafunguka kisha na conclude na spiritual prayers.
 
Mshikaji alitaka kumwona Baba mtu binti akagoma akisema kuwa baba yake hausiki anayehusika ni baba yake Mkubwa naye ndiye mtoa maamuzi yote. Pia unamaanisha nini kusema bendera fuata upepo?. Ila binti ndio kabadilika sana hasa kipindi an achoona ndoa iko mlangoni demand zinakuwa nyingi ka anaolewa na riz moko.

Nikuulize wewe JC,huyo msichana angekuwa wako ungemuowa??
 
hapo hamna mke kaka,mshkaji wako amebug.Hicho anachokionesha sasa huyo binti ndo tabia yake halisi,na huenda hajayakunjua full makucha yake,kimbembe akishafunga naye ndoa.Aachane na mipango hyo kwa sasa,ajijenge then atafute mwanamke mwingine wa kuoa,SIO HUYO TENA!

Asante mkuu
 
Za mida wajumbe?. Kuna friend of mine hapa ananipa mchapo akitaka kujua afanye nini.
Ana binti aliyenaye katika mahusiano kwa miaka kadhaa sasa. Kijana anasoma ila ana gratuate this year. Binti kamkaba jamaa wafunge ndoa jamaa naye kaona ni sawa kwani kaona binti amepass viwango kuwa naye kimaisha ila jamaa anakwama sehemu moja ana ajira somewhere ya mkataba na analipwa 80% ya mshahara kwa mwezi kwa sababu kiwango chake cha elimu hakijafikia lengo la mshahara kamili. Kwa hili binti akamtia moyo kuwa asijali kabisaaa kwani kwao mahari anataja binti na akamhakikishia kuwa haitazidi laki tano ama sita jamaa kwa kuona hivyo na kwa kuzingatia umri wa ampendaye unamtupa mkono akajitosa binti akawakusanya ndugu zake wengi kuwapa taarifa kuwa amepata mchumba in short jamaa anamuuliza binti ampe siri ndg wanataka kiasi gani ili awaelezee washenga watakapo kwenda wajue kiasi binti anamwambia jamaa ajiandaye kwa milioni moja na nusu khe jamaa kasara mbaya ukitegemea ni miezi kama mitano tu imebaki kwao kufunga ndoa. Binti ni form four failure ila anakibarua mkoa mwingine mbali jamaa mawasiliano ni Simu tu. Jamaa akaa kimnya akajikunja kwani wazazi wa binti waligomea hapo hawataki chini ya hapo.
Jamaa amekubali. Sasa wameenda kwenye swara la Pete ya engagement binti anataka ya dhahabu si chini ya gramu mbili jamaa anamsihi amsaidie japo kidogo binti anagoma kwa kusema nini maana ya kuwa engaged?. Anamwambia wanunue Pete ya silver anamwambia ataiweka kwenye kidole cha nani?. Sasa hivi wamebakiza siku chache jamaa akatoe hiyo mahari anamwambia binti amsaidie pesa kidogo za kununulia vitu vya kuwapa wazazi wake kama blanket na kanga binti anawaka ile mbaya kuwa hata kuwa na amani kabisa akiwa ndani ya ndoa akifanya hivyo. Jamaa hana hamu naye ananiomba ushauri hapa kwani kaamkia kwangu asubuhi hii akitaka kuniuzia boda boda yake ama niichikue bond. Ushauri tafadhari Wajumbe. Mnisamehe kwa uandishi sio mzuri.

Asipeleke mahari wala nn atulie tu kwan wanamuonea na ndoa hazko hivo lazma kuwe na maelewano.Atulie kwa muda usiopungua miezi miwl watajfunza tu na km akiona hawajifunzi aahrishe kabisa
 
Mwanangu we ni mwanaume mchulie jamaa kama ni ndugu yako....je ungemuacha amuoe huyo binti?
Kiukweli hapo hamna ndoa na atamsumbua sana huyo jamaa!

Asante mjumbe
 
misschagga na ataumia vibaya ngoja uone mtu mzima anaingia choo cha watoto anakalia poti sasa ivi ndo yale lara1alikua anasema kuusu ndoa teh teh@Lara1 embu ukuje uku uone mambo yandoa haya fanya shuta!!

hawa hawana ndoa jamaa ndiyo anataka kuingia lakini naona kama jamaa anataka kubaka ndoa... aangalie asije bakwa yeye
 
Asante mkuu

JC watu wanaoana ili kusaidiana pia ktk maisha suala la ndoa naona ni dogo,je kwenye maisha ambayo tunategemea kifo kitutenganishe huyo msichana atamudu kusaidiana na mwenzie hasa wakishapata watoto??jiulizeni kwa nini hataki mwenzie aombe ushauri??Jamaa yao anajivika bomu mwenyewe,panapofuka moshi ujue pana moto na siku njema huonekana asubuhi.
 
  • Thanks
Reactions: J C
Heee anataka binti ampe hela? Ili akajichumbie????

Huyo rafiki yako nae, anajijua uwezo hana kwa sasa kwa nini apelekeshwe?

Moyo mjumbe. Pia binti ndiye anayeforce na ukisoma vizuri Uzi utaona binti alimwambia jamaa kuwa mahari kwao anapanga binti muolewaji la sivyo kijana asingejiingiza kwani tunajua fika kuwa nowadays mahari na ghari sana . Sasa imekuwa kinyume chake. Ndio nikasemaaa kumbe ndio mabinti walivyo wanamvutia jamaa gizani kisha wanamlaluaa vibayaa.
 
JC Kaaah!! mshikaji naye hang'astuki tu amuone baba mkubwa kwani baba /mzazi hayupoi hai? na siku baba mtu akisema sikutambui kama mkwe wangu mshikaji atafanyaje coz baba mtu ndo mzaa chema na yupo hai na mshikaji nae hadauti kwanini demu anakataa asimuone baba mzazi wa demu? sas binti kabadilika kuona toi ipo mlangoni JE? akiingia ndani kabisa itakuaje mwambie mshikaji aweke demu kapunu huyo hafai kwani aibu itakuwa kwa nani demu au mshkaji?

Aibu ni kwa demu. Funguka mjumbee
 
Last edited by a moderator:
Mwache aowe na kama ni ndoa ya kanisani atakuja kunya mavi,wanawake wengine wajinga sana.

Fungukeni wajumbe jamaa apone. Maana maisha ya ndoa si lelemama hata kidogoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom