Nimo mjumbe. Upendo kwanza fedha badae. Kusaidiana bila ya majungu ndio mpango mzimaa.
Nway ila mshauri ndugu yako aache kuanza kumtegemea mwanamke mpaka kwenye kulipa mahari.
sijui nyie ni kabila gani mnataka mwanamke ajinunulie pete ya uchumba?
Nimo mjumbe. Upendo kwanza fedha badae. Kusaidiana bila ya majungu ndio mpango mzimaa.
Nway ila mshauri ndugu yako aache kuanza kumtegemea mwanamke mpaka kwenye kulipa mahari.
sijui nyie ni kabila gani mnataka mwanamke ajinunulie pete ya uchumba?
Hujapenda na umimi kwenye mahusiano huyaharibu kabisaa. Ka vipi mpotezee utafute ambaye ataruhusu mshahara wako kuishia saluni kusuka nywele na kuparua kucha.
no hapo nitakua najichumbia mwenyewe... afu atanidharau san... lazima jasho limtoke kwanza akishindwa ndo ntamsaidia,,uwezo anao sana
ipo but ya kawaida sana... hawanaga mbwembwe kama za wakristo...masharti chungu na telee...
My friend just play your part kwa kumshauri akikataa poa!Jamaa yuko njia panda hapo awali hadi hivi sasa binti anaonesha upendo kwa jamaa ila hili ndilo linalomstua jamaaa amekubali la Pete amechukua vipimo vya kidole tiari Leo ndio nilikuwa nampeleka kwa sonata ila nimemshauri aache kwanza tumtathimini binti kwanza . Maana kama huu ni mwanzo kweli jamaa ataiona hela mwanamke ndani ya nyumba?. Anamwambia ati huko mbeleni watasaidiana ila si katika hili mh!. Kweli kuna future hapo?. Alafu anampiga jamaa ban asiombe ushauri kwa rafiki zake Bali mambo wayamalize wao wenyewe mh!. Ama anadhani friend wangu hawezi back out?.
Duuh lakini huyo jamaa ni bendera fata upepo cha msingi atulize akili, kwanini asifunguke kwa wazazi wa demu,kama vipi akache ndoa kwanza mpaka atakapo jiweka pouwa, kwani hapo kalazimishwa na niwangapi wanavalishwa pete na wanaachana hata kabla hawajafunga ndoa?
Na atataka kukuuzia boda boda sindio kurudishana nyuma kimaendeleo huyo demu ni zero brain!!