Jamaa yuko njia panda hapo awali hadi hivi sasa binti anaonesha upendo kwa jamaa ila hili ndilo linalomstua jamaaa amekubali la Pete amechukua vipimo vya kidole tiari Leo ndio nilikuwa nampeleka kwa sonata ila nimemshauri aache kwanza tumtathimini binti kwanza . Maana kama huu ni mwanzo kweli jamaa ataiona hela mwanamke ndani ya nyumba?. Anamwambia ati huko mbeleni watasaidiana ila si katika hili mh!. Kweli kuna future hapo?. Alafu anampiga jamaa ban asiombe ushauri kwa rafiki zake Bali mambo wayamalize wao wenyewe mh!. Ama anadhani friend wangu hawezi back out?.