LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 28,822
- 45,337
Kada vipi? Leo huna hoja ya kichama zaidi?Hahaha ngoma inogileee

LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ameandika,
Pio Pius....[emoji41]
======================
Lazaro Nyalandu aende wapi?
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-
1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.
2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.
3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.
4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.
5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.
6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.
7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!
8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Fred yuko kazini na anapata mshiko mzuri tu kwa kuandika propagandaNyalandu angeweza kukaa CCM kama kina Chenge na Tibaijuka na asifanywe chochote. Tena ubunge ndo kwanza mwaka wa pili sasa nikushangae wewe Fred ulihama CCM ukatangatanga baada ya kuona ukomo wa ubunge umeisha na huna nafasi. Ulitangatanga mwishowe njaa ikakurudisha na bado unaonekana msaliti tu. Mwenzio angeweza kubaki huko na asifanywe chochote na nzi wa Lumumba. Umenipata? Ameumia kutokana na watu kushambuliwa kwa risasi mchana huku watu wakiendelea kula bata bila kuchukua hatua
kwendaaaaaaa
Fred mbona umeamua kusiliba mazima? kwani hukuyaona hayo muda wote? Eti mtu anahama ndiyo anasindikiziwa na madongo.Je asingehama nani angeandika shommbo hii? Inamaana hata wengine wakihama nao watasilibwa matope mpaka waonekane ni vinyagoLAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ameandika,
Pio Pius....[emoji41]
======================
Lazaro Nyalandu aende wapi?
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-
1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.
2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.
3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.
4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.
5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.
6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.
7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!
8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Humjui Fred katika siasa anazofanya? Anapenda siasa za kusiliba matopeUsaliti ni laana mbaya sana na itakutafuna hadi kaburini , wewe Mpendazoe ndio wa kuhoji uamuzi wa Nyalandu ? Alivyoenda kumuona Lissu Nairobi mbona hukuandika porojo kama hizi ?
Hii ni siasa ya kiwango cha juu sana mkuu ukileta fyokofyoko TUTAKUANIKA VIBAYA SANA ! Tenda haki uheshimiwe usilete uzushi , kisa UDC unaoutafuta kwa udi na uvumba , siasa za kishamba waachie akina Jerry Murro .
siasa za kupakana matope zimetamalakiMlifahamu Nyalandu ni mharifu, na hamkumchukulia hatua za kisheria kwa kuwa alikuwa ccm. Sasa ameamka na kuona ubora wa kusimama na wapenda kweli, ndiyo mnatuletea hadithi, alikuw avile alikuwa vile. Mlikuw aapi kuchukua hatua kama mlifahamua alikuw amahrifu katikati yenu?
Naomba ujiangalie vile unavyobaki utupu!. Hii unadhihirisha ccm haina lolote la kuwasaidia Watanzania zaidi ya kufuga uharifu. Hii inakwendana sambaba na kuidhinisha uvunjifu wa sheria za nchi kuwa nguzo yenu ya chama kwa kubariki umwagaji damu isiyo na hatia ikiwa ni pamoja na kuwapandisha vyeo watenda jinai!
Propanda na uanfiski wako haukusaidii!. Sana sana hata hapa unaonyesha majuto ya uamuzi wako wa kipuuzi ulioufanya ukadhani utapewe uwazri. Imekula kwako. Acha wenye vichwa vya kuelewa waelewe, wajute na wabadilike.
huu haukubaliki hata chembe. Eti mharifu anakimbia mambo, mlikuw awapi kumchukulia hatua za kisheria wakati uharifu kaufanya kwenu mkiwa naye?
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ni kweli Nyalandu sio msafi, lakini ameanza hayo matatizo leo alipojiuzulu ccm. Ulikuwa wapi muda wote kuandika huu upuuzi ulioandika hapa. Wewe ni mzee lakini nyie ndio wale mnaoitwa wanaume kama mabinti.
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ameandika,
Pio Pius....[emoji41]
======================
Lazaro Nyalandu aende wapi?
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-
1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.
2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.
3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.
4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.
5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.
6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.
7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!
8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Amekatwa mkia ndo tatizo kuna kitu kimepungua tumwombeeHah huyu dingi anajidharau sana..
Athari za njaa kukimbilia kichwani badala ya tumboniUmemuuliza swali lenye thamani kubwa sana. Nyalandu hajasema ccm ni mbaya tokea zamani bali kasema hii ya sasa (mean chini ya jpm) ni ya hovyo isiyo fuata katiba wala sheria.
Fred kaishiwa akili kabisa sijui ni njaa au ugonjwa
Jamani leo nimepitwa. Kwani NYALANDU kahamia chadema??? Amefanya interview au???? Lini ?? Na saa ngapi ???
Wale wengine walohama mbona mnawaambie wamehongwa? Kama kuhama chama ni haki ya mtu fungeni Chadomo chenuMuacheni, isiwe nongwa, ametumia haki yake ya kikatiba na kisheria. Kutokua na chama au kuama chama si kosa, ni haki yake muacheni.
Kama mbwa wa Obama![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23]Vita vya kuutafuta ukuu wa wilaya... Anasahau mwenye chama alishamwambia amekatwa mkia....