Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

Tatizo lenu ndio hili ....sasa kwavile hakuchukuliwa hatua ndio msafi? Akidakwa mtasema anaonewa ....tunawasoma tu ..

Tatizo letu na nani?

Who said he is clean?

I see you are now loosing your analytical ability. Nilichokisema nimekisema narudia ni UPUMBAVU WENU, WA KUFUGA WAHARIFU NA SASA MNAWAPA VYEO KWA KUWA TU NI WENZENU, HALAFU MNATULETEA UHARO, WAKISHAONDOKA. NAKUHESHIM USITAKE NISEME MENGI. RUDI UJIPANGE KUELEWA.
 
Hata Magufuli anahutumiwa kuhonga mahawara nyumba za serikali, MV kivukoni fake uzuri haja hama CCM...Lazaro Mungu anakuona
 
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja

Kwa mtazamo wangu sidhani kama kashafa hii ingesababisha kuhama chama, badala yake ingemkalisha chamani ili kuwa salama zaidi
 
mzee kaaga kimya unajiaibisha nchi kwa sasa inaelekea shimoni kwa kasi mno kila mtu anaona njaa isikuvue utu wako.
Ngoja mzee ajaribishe kupata ukuu wa wilaya! Umesahau kuna nafasi zaidi ya sits hazijajazwa?
 
Mpendazoe utakua umedanganya kuhusu vyeti vya elimu yako maana unaonekana uwezo wako wa kawaida sana kila kukicha unaandika madudu tuu...
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Actually, kama ana madhambi yote unayosema hapa, ujanja ni kubaki CCM. Kukimbilia upinzani, tena Chadema si ujanja kama unajua uko vulnerable.
 
Sawa Mpendazote tumekusikia lakini tatizo lako ulikatwa mkia alafu una gundu.
 
Mmemshindwa Lowassa hebu kwendeni huko na mhakama yenu ya makumbusho ya mafisadi
 
"BUNDI ATUA NYUMBANI KWA FRED MPENDAZOE"
Mleta Uzi Unakikumbuka Hiki Kichwa Cha Habari?
 
Tuliambiwa Mpendazoe na wenzake waliorudi ccm ni mang'ombe yasiyokuwa na mikia na yanafahamika.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Mlivyompokea Eddo alikuwa msafi?
 
usilishe watu maneno peleka ushahidi mahakamani ndio itamtia hatiani nasivinginevyo
 
Hatujabeba maziwa pisha mbali tumebeba maji taka. jipime upimiwe siasa za maji taka kupakana matope ni kawaida
 
Safari ya Nyalandu na CCM ilikuwa safari ya NIPE-NIKUPE.. Now as the party has nothing more to give the ex minister who (in effect) has nothing (more) to give his ex Miss Tz makes the end to that journey...
Muda c mrefu tegemea kusikia Nyalandu kaachika! 🙄
Kuachwa na mwanamke kwa kuwa mambo yamebadilika na matumaini kupotea ni kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom