Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,788
- 4,247
Kwa hiyo akili ya Prof ni kwamba sheria inachagua kutokana na mtu yupo upande upi
maana yake ukiwa ccm dhambi ni sawa1/ Actually, kama ana madhambi yote unayosema hapa, ujanja ni kubaki CCM. Kukimbilia upinzani, tena Chadema si ujanja kama unajua uko vulnerable.
2/ Mbona ulikuwa kimya muda wote hukusema yote haya? Je, ghafla Nyalandu amekuwa mshirika wa jangili lililokamatwa na risasi 356 baada ya kutanganza anaacha kuwa mwanachama wa CCM?
Kwani Lowasa hakuwa matapishi ya CCM??LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.
Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?
Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?
So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"
Ameandika,
Pio Pius....[emoji41]
======================
Lazaro Nyalandu aende wapi?
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-
1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.
2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.
3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.
4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.
5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.
6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.
7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!
8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Ni haki yake kikatiba[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji111] [emoji111] [emoji111]LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Binafsi nimekuelewaLAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Mbona hakuna hoja uliyoandika? Acha kushambulia mtu, Shambulia hoja!!Buraza furedi umefufuka leo uliposikia kuna nafasi za ukuu wa wilaya ziko wazi,pambana ufanikiwe mana ulizoea hela ya ubunge kipindi kile sasa huna kitu zaidi ya kujipendekeza upate kula

Binafsi najiuliza hana familia huyu mzee? Kama anayo basi anaitia aibu sana nawaonea huruma wanae maana anawadhalilisha sanaHah huyu dingi anajidharau sana..
Hivi ninyi wana CCM mna akili ya ajabu kweli...... Mheshimiwa mbona povu linakutoka???Dalili za mvua ni mawingu,huyo mheshimiwa kuna kitu kimeguswa nayo ni maslahi yake binafsi.
Sio kweli eti ana uchungu wa katiba eti Chama chake kimepoteza muelekeo kayaona sasa ?
Huyu mtu bila aibu aliuza nembo ya taifa yaani twiga mchana kweupe sijui alitaka baadae auze mbuga kama Serengeti.
Alipogundua kuwa mbio zake zinafikia ukingoni ndio alipoanza maigizo.
Lakini kuteuliwa Kigwangala kuwa waziri wa mali asili na utalii akagundua kuwa ndio mwisho wake.
Japo ni mwelevu wa darasani lakini hii move ya kukimbia CCM kwa visingizio its a big miscalculation and will cost him deadly.
Hivi kwa akili yake anafikiri CCM ya Magufuli itamuachia hivivi,unataka akafue makaburi ya uozo wako na genge lako?
Facts sio povuHivi ninyi wana CCM mna akili ya ajabu kweli...... Mheshimiwa mbona povu linakutoka???