Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

lumumba Leo mtalala kweli c kwa essay hizi pumbavu mbona hamkumpeleka mahakamani before
 
leten na file la Yule aliyeuza nyumba za serikali ovyo tena kawauzia ndugu zake, akanunua boat fake kwa billions of money , tender za ujenzi mkubwa anatoa kwa campny yake lumumba misukule tuleteeni file la uyu
 
We mzee unatumia kichwa gani kuwaza kama ni ile kichwa kingine ndipo tutakuelewa. Aliyoyasema Lazaro kwa wenye kutumia vichwa vya kawaida kufikiri ni kweli ila kwa wanaotumia kile kichwa cha katikati ya miguu ndio huleta fikira hizi za kipuuzi. Jifunzeni kwa Nyerere alivyokuwa muungwana sio mnabwabwajwa tu kama wanaojichua bafuni
 
Fred Mpendazoe sasa hivi ni usiku na najua yawezekana ukawa katika juhudi zako za ' Kibaiolojia ' na ' Shemela ' wetu hapo Kitandani ila naomba kama ukiamka usiku manane kwenda kuchimba dawa one time au hata Kesho asubuhi unijibu tu kwamba una uhakika kwamba huko CCM na hao waliobaki hakuna wengine wenye ' Kashfa ' za ' Ngono ' ambazo umemtuhumu nazo Lazaro Nyalandu? Manake Mimi binafsi katika ' Kabrasha ' langu la ' Kumbukumbu ' nina idadi ya kutosha tu ya wana CCM tena wengine ni ' Waandamizi ' kabisa na ' Watawala ' vile vile ambao wana ' mapungufu ' hayo hayo ya ' Kingono ' na tena hata kuyazidi ya Lazaro Nyalandu.

Hivi ' logically ' tu kuna Mwanaume chini ya ' jua ' hili asiye Malaya? Yaani tunaacha kabisa kuzungumzia ' issues ' za maana tunajitutumua kuja hapa kumsema Mwanaume mwenzetu kabisa ni Malaya wakati Kiafrika Kiafrika ' Umalaya ' ni sehemu ya ' Tunu ' kubwa tulioachiwa na ' Mababu ' zetu hivyo Mimi GENTAMYCINE nikiona Mwanaume fulani ni ' Womaniser ' huwa nafurahi sana kwani naamini anadumisha ' Uafrika ' halisia na uliotukuka.

Nitashukuru mno ukinijibu.
 
Sizonje akitoka ugambani nao ndio wataanza kukumbushia zile samaki, meli, nyumba za serikali alizomuuzia nyumba ndogo yake, lmalipo hewa ya bilion 252, nk.
 
Watu bhana kweli wanashida, ngoja sasa atoke mtu kwao aende CCM ndo utasikia kanunuliwa na ushahidi tunao.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Poleni sana, wakihamia kwenu ni safi dah! Kwani na aliefuga mafisadi papa nchini humu? Ni ccm. Aliewazaa mafisadi ni nani, yaani aliye vitotoa na kuvileya vimafisadi ni nani? Ccm! Werevu wanapokihama, munabeza kwamaumivu. Mtaumia sana na bado. Ucha na uwozo wote, upo ccm pepe yake. Munafumba macho kwa upumbavu uku mukijua kwamba, munao rukuki mafisadi ndani ya ccm. Poleni sana!
 
Hawa puplis pawa kila mwenye ulafi na urahisi anakimbilia huko sasa sijui watamchagua nani mbaya zaidi hata wananchi hawawezi kuwaelewa kwani CV zao na uadilifu wao unajadiliwa kwa kiwango kikubwa
Mkuu wait nkurekebishe kidgo umeeleza vema lakini naomba kdg kuweka historia sawa. Wakati twiga wakitoroshwa mwaka 2010, tar.26 mwezi November siku ya ijumaa, kwa kutumia ndege ya jeshi la Quartar kutoka uwanja wa ndege wa KIA, aliyekua Waziri wa maliasii na utalii ni Ezekiel Maige, sio Nyalandu. Hata operation tokomeza iliyoumiza wananchi waziri alikua Kagasheki sio Nyalandu. Kumuunganisha Nyalandu na matukio hayo ni kutomtendea haki. Tumhykumu pale anapostahili, tusipindishe ukweli. Letz have fairly judgement.!
 
nilijua tu mtakuja, bado na mwenzako Jerry Muro

Point Sio watakuja. Au hawaji. Is there s substance katika wanayosema. Je wewe kama Chadema ulishawahi kusikia chama chako kikimshambulia huyu. Acha utoto kukimbilia mwavuli Wa watasema. Akija Zitto husemi ulijua. Ni huku tu. Sasa hiyo Sio Demokrasia. Unayodai kuitafuta.
 
Mpendazoe wewe sio wa kuhoji kuhusu kuhama Kwa Nyalandu. Mwaka 2010 ulipojiuzulu ubunge ulitoa tuhuma hizo hizo za eti CCM sio Mama yako! Je leo imekuwa mama yako mpaka urudi? Huna uhalali wowote, ulishaambiwa ni ng'ombe aliyekatwa mkia, subiri uote kama mikia huwa inaota
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Nianze na wewe Mpendazoe Fred.
Ulihama ccm kuanzisha ccj yakakushinda mara cck kwa sababu hukuridhishwa na mwenendo wa chama lakini pia nawe ulikuwa sehemu ya tatizo ccm hukuwa mwaminifu grade wanu.
Uliomba kwenda chadema ukapokewa vema na kupewa tikiti ya kugombea ubunge ukashinda ukafanyiwa figisu ukaporwa ubunge na wanaccm ambao leo wewe umerudi kwa wezi wako this is proof that you planned to sacrifice to your enemies for special hidden issues. Huna jipya umekwisha.
Kuhusu umalaya wa nyalandu na uuzaji maliasili ujangili.
Ni kweli wapinzani na wasio wapinzani pia walilalamika kuhusu mwenendo wa wizara hiyo lakini hatujui kwa nini wabunge wote wa ccm walipiga kelele hoja isijadiliwe na kuwaita wapinzani wapuuzi.
Nyalandu kachoka na uovu kaamua kuchagua sabato ya kweli sasa kama nimeacha pombe leo huwezi kunilazimisha kuwa kwanini hukuiacha pombe jana. Atahamia cdm asipokuwa na nidhamu nako ataondoka kama wewe mpendazoe ulivyoondoka na cdm bado inasonga mbele. Ataondoka kama shibuda alivyoondoka na mambo bado yako safi. Ataondoka kama walivyoondoka wengine wengi.
Dhahabu ilikipita motoni huwa bora hivyo chadema ni mahali ambapo kama hukujiandaa kuwa mpinzani huwezi kumaliza hata mwezi.
Wewe Fred mpendazoe tunakujua kuliko unavyojijua. Rejea kauli zako zote kwetu ikiwa una kumbukumbu ndipo utajielewa. Tulikurekodi kwa sauti na video.
Kumbuka ulipokuwa na Dr slaa Mbeya teku Chuo kikuu ulisema nini.
 
Watanganyika wasahaulifu Sana. Leo hii Nyalandu shujaa.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.

We kafie mbele uko,unajitokezaga kupondea wanaohama ccm,wewe kakojoe ulale hata hao unaowatetea hawakuelew hata kidogo.
 
nimesoma andiko lako lote.hujajibu hoja hata moja ya nyalandu zaidi ya personal attacks.kwani mkikaa kimya kama hamna majibu ni dhambi?
hoja zake ni hizi mkuu

NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne mfululizo tangu nilipochaguliwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2000 hadi Sasa.

AIDHA, Nimechukua UAMZI huo kutokana na kutorishwa kwangu na mwenendo wa hali ya Kisiasa nchini, ikiwa ni pamoja na ukiukwaji wa HAKI za Kibinadamu, ongezeko la vitendo vya dhuluma wanavyofanyiwa baadhi ya watanzania wenzetu, na kutokuwepo kwa mipaka ya wazi kati ya MIHIMILI ya dola (Serikali, Bunge, na Mahakama) kunakofanya utendaji kazi wa Kibunge wa Kutunga Sheria na wa Kuisimamia Serikali kutokuwa na uhuru uliainishwa na kuwekwa bayana KIKATIBA.

VILEVILE, Naamini kwamba bila Tanzania kupata Katiba Mpya Sasa, hakuna namna yeyote ya kuifanya mihimili ya dola isiingiliane na kuwepo kwa ukomo wa wazi na kujitegemea kwa dhahiri kwa mihimili ya Serikali, Bunge na mahakama ambayo ndio chimbuko la Uongozi Bora wa nchi, na kuonesha kwa uwazi kuwa madaraka yote yatokana na wananchi wenyewe, na kwamba Serikali ni ya Watu kwajili ya Watu.

MIMI Naondoka na kukiacha Chama Cha Mapinduzi CCM, nikiwa nimekitumikia kuanzia ngazi ya Uenyekiti wa UVCCM Mkoa, Ujumbe wa Kamati za Siasa Wilaya na Mkoa, Ujumbe wa Kamati ya Wabunge Wote wa CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM TAIFA, kwani nimejiridhisha kuwa kwa mwenendo wa hali ya kisiasa, kiuongozi na kiuchumi uliyopo Tanzania Sasa, CCM imepoteza mwelekeo wake wa kuisimamia Serikali kama ilivyokuwa hapo awali. AIDHA, Naamini kuwa, kama ilivyotokea kwa mihimili ya Bunge na Mahakama kutokuwa na uhuru kamili, bila kuingiliwa kiutendaji kwa namna Moja au nyigine, CCM nayo imekuwa Chini ya miguu ya dola badala ya chama kushika hatamu na kuikosoa Serikali inapobidi kama yalivyokuwa maono ya Baba wa TAIFA MWALIMU Julius Kambarage Nyerere.

HIVYOBASI, kwa dhamira yangu, na kwa uamuzi wangu mwenyewe, nikiwa na haki ya KIKATIBA, natangaza KUKIHAMA Chama Cha Mapinduzi CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom