Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
Kwanini hukuyasema haya kipindi yupo huko ccm?acheni siasa taka
 
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.

Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Hiyo point ya mwisho imenistua sana sana sidhani kama nitapata usingizi mzuri leo
 
Mzee wa ccj uliyekatwa mkia umedhihirisha kuwa ccm ni kikundi cha uovu na kufichana nchini,hivi huo ujangili wa nyalandu ndio unauona leo baada ya yeye kutangaza kuachana na ccm?
 
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.

Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Kumbe bado upo chadema? Imekuwaje wamekuacha muda wote huu? Duh!

Sina uhakika unatokea wapi, lakini Maghufuli hawezi kukusaidia kwa lolote. Walau ungekuwa hata profesa hata kama hujatokea “kule”, bado ingesaidiamo.😀

Ila kwa sasa hupati chochote ng’o pamoja na povu debe zima.
 
Mkuu pambana na hali yako ya kimaisha,

Inakuuma nini wewe Nyarandu kuondoka CCM

Ni maamuzi yake kikatiba kusemasema sana hakubadili maamuzi yake

Wala hataki ushauri wako sababu kama angekuwa anahuhitaji angekutafuta

"2.Chadema tutazidi kujimaliza,....." Kwanza tangu lini wewe ni Chadema???

sijaelewa ulicho andika mi nionavyo anasema nyarandu asikubaliwe kujiunga na chadema kwa sababu alizo taja hapo juu ....sasa wewe mambo ya katiba sijui nini kilasehemu kunakatiba ikiwa ni chama na mwanachama yeyote anaweza kuondoka popote na kujiunga popote sasa huoni kama nyarandu akijiunga chadema na skendo zote wakati akiwa waziri wa maliasili mtamsafisha tena daaa kweli Chadema ni sawa na shamba la bibi yaani yeyote twende mradi karudisha mpira kwa kipa .....
 
Nachoweza sema ni Dr. Kigwa kakuta madudu huko, lazima mtu asulubiwe! Sasa mtu anaanza kutafuta huruma.
Mkuu, ni jambo la heri sana hili kama madudu yakivumbuliwa na watu wakashtakiwa..

Lowassa aliitwa fisadi na anaendelea kuitwa fisadi lakini hadi leo yupo kwake anakula supu miguu juu! Tuelewe nini hapo?
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]

Hivi huyu fred ndio yule aliekuwa anaruka huku na kule!!? Hivi yupo au hichi ni kivuli chake? Sasa nadhani ni muda muafaka kama lazaro alikuwa fisadi tuone wamfikishe mahakamani. Manake chama la wana bana ukitoka tu wanaanza "oh! Huyo fasadi "wakati alipokuwa ccm atukuwahi sikia ufisadi huo. Hiyo ni cheap politics. Chama chochote serious kingkuwa tayari kimewafikisha makada wake walio mafisadi mahakamani bila kujali sura ya mtu.
 
Nyarandu Kuondoka nimefurahia sana
na nimwanzo wakufukua Makuburi kwa kasi ya 300Km
Wacha tuone kinacho fuata
 
Ng'ombe aliyekatwa mkia bado wenzake wanashangaa mkia umeenda wapi!!?? Leo Nyalandu kuhama ndiyo umapata fursa ya kuelezea dhambi zake? Kwa hiyo asingehama ungekaa kimya?
 
Mkuu, ni jambo la heri sana hili kama madudu yakivumbuliwa na watu wakashtakiwa..

Lowassa aliitwa fisadi na anaendelea kuitwa fisadi lakini hadi leo yupo kwake anakula supu miguu juu! Tuelewe nini hapo?
Aliyesema lowassa ni fisadi ni chadema!
 
Ng'ombe aliyekatwa mkia bado wenzake wanamshangaa mkia.l umeenda wapi!!?? Leo Nyalandu kuhama ndiyo umapata fursa ya kuelezea dhambi zake? Kwa hiyo asingehama ungekaa kimya?
Ni kama wewe leo unamuona anafaa wakati mlipiga kelele kuwa ana madudu mengi wizara ya malia asili.
Kwa spidi hii, ni rahisi sana kwa wachafu "kujisafisha" kwa chadema!
Yuo just join them and the forget all your evil deeds!
 
Ng'ombe uliyekatwa mkia upo?? We Mpendavyeo unafiki utakupoza, wakati wako umeisha pita kaa tulia, acha kelele
 
Huyu mzee hana familia au washauri wa nje ?

Tangu akatwe mkia hata michepuko hana. Maana kuna wakati michepuko huwa na mawazo ya maaana kuliko yeye alivyo empty [emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
sijaelewa ulicho andika mi nionavyo anasema nyarandu asikubaliwe kujiunga na chadema kwa sababu alizo taja hapo juu ....sasa wewe mambo ya katiba sijui nini kilasehemu kunakatiba ikiwa ni chama na mwanachama yeyote anaweza kuondoka popote na kujiunga popote sasa huoni kama nyarandu akijiunga chadema na skendo zote wakati akiwa waziri wa maliasili mtamsafisha tena daaa kweli Chadema ni sawa na shamba la bibi yaani yeyote twende mradi karudisha mpira kwa kipa .....

Uwe unaweka kituo na kufikiri kabla ya kuongea.
Nyarandu hajafukuzwa CCM katoka mwenyewe
Kwahiyo alivyokuwa huko CCM alikuwa msafi?

Taja kiongozi gani aliyewahi fukuzwa CCM kwa tuhuma zozotena akahamia Chadema.
Lakini ni wangapi waliofukuzwa Chadema wakahamia CCM.

Tatizo lenu hamna uwezo wa kufikiri mnaongea tu

Sasa chama kipi ni shamba la Bibi,
 
Fred mpendazoe umenigusa hili jambo ni kweli,, unakumbuka ile ndege iliotoka USA kujakuwachukua Wale watoto waliopata ajari arusha, unajua iliondoka na mzigo gani ingawa tuliminishwa ilibeba wagonjwa lkn wabaya walitumia huo umafia kupeleka mizigo yao!!! Je kwenye simazi ndani kuna huma Na juice baridi,
 
Mkuu,ndani ya nafsi yako unajua ni kwanini mahakama ya mafisadi iliahidiwa wakati wa kampeni!
Haikuandaliwa tu kwa sababu ya individuals ambao cjadema walidai ni mafisadi, ndio maana hata diwani mkubwatena wa sisiemu na mwenye nguvu kiuchumi bado alifikishwa mahakamani, Manji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom