Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

Mpendazote nataka kujua kutoka kwako, kwanini unanenepa nyumba tu? Huenda huo unene wa nyumba ndo unakufanya ukose akili, maana sijawa kuona mwanaume shoga mwenye akili timamu.

Ndo nyie mnafanya wanawake wengi wakose waume.
 
.
Kiongozi, hakuna haja ya kumuengua mtu ambaye hajafanya kosa la kinidhamu. Waliofanya makosa ya kinidhamu waishaenguliwa na yeyote atakaekosa ataenguliwa. System iliyopo ni chekecheo tosha la kuendesha mchakato. Kila asiyefaa atajishtukia mwenywe baada ya kuona kabaki peke yake.

Katika awamu hii wabaya dhidi ya serikali wataonekana, na wasiostahili watajiengua wenyewe.
Mbona mmemfugia kinana Geto na anataka kutoka hamtaki???
Anyway....lakin madudu niliyokutajia ya hao watu si unayajua au ulishawahi kuyasikia????
 
Hivi mnajua maana ya Mpendazoe?
Kikwetu maana yake ni Mpenda vya bure,yaani mpenda dezo,sasa jamaa kakaa kama fisi kusubiria mkono uanguke.
Ukuu wa wilaya unawatesa watu.
 
Wapumbavu nchi hii wengi mno na wanaendelea kujianika.
Nyalandu kafanya maamuzi sahihi kwa mujibu wa serikali yake incident na wala mtu mwenye akili hawezi kuendelea kuvumilia watu wakiuawa na kujeruhiwa kisa siasa, lazima mwenye akili anachukizwa na hali inayoendelea katika com na dola
 
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.

Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Mkuu fungua sredi nyingine ya Nyalandu, maana mkia haukukatika vizuri!!!
 
Watu Badala ya kujibu hoja wanamshambulia mleta mada! Ni dalili ya kukosa hoja na kushindwa kusafisha makapi yao.
Hii sio hoja ni majungu na fitina tu. Kitu ambacho huwezi kuthibitisha ni majungu tu.
 
Nachoweza sema ni Dr. Kigwa kakuta madudu huko, lazima mtu asulubiwe! Sasa mtu anaanza kutafuta huruma.
 
Nyalandu angeweza kukaa CCM kama kina Chenge na Tibaijuka na asifanywe chochote. Tena ubunge ndo kwanza mwaka wa pili sasa nikushangae wewe Fred ulihama CCM ukatangatanga baada ya kuona ukomo wa ubunge umeisha na huna nafasi. Ulitangatanga mwishowe njaa ikakurudisha na bado unaonekana msaliti tu. Mwenzio angeweza kubaki huko na asifanywe chochote na nzi wa Lumumba. Umenipata? Ameumia kutokana na watu kushambuliwa kwa risasi mchana huku watu wakiendelea kula bata bila kuchukua hatua
kwendaaaaaaa
Wakati akiwa waziri, hakuna mtz aliyewahi kushambuliwa? Anakimbia uozo aliofanya.
 
vita ya ujangili isinge mwacha nyalandu salaama kigwangala endelea kukaza buti
 
Fred Mpendazoe mbona hujayasema yote haya kabla ya Nyalandu kujiuzulu? kwanini uyalete leo? maswali haya yajibiwe kwa weledi maana yasipojibiwa nitakuwa na wasiwasi kuwa ndani ya chama wapo wengi mnaficha maovu yao na hamtaki kuwafikisha mahakamani ila wakijiuzulu mtaanza kuyatoa maovu yao kitu ambacho sio sahihi ni kama bifu flani hivi. tunataka habari kama hizi mtuletee kabla ya hawajajiuzulu na muwafikishe mahakamani si vinginevyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom