Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Huwezi kukaa na wauaji wa Lisu
 
Mheshimiwa upo chama gani sasa? Husikiki kama zamani... Ila kwa wingi wa risasi alizomiminiwa Lissu, hata wewe usingeweza kuvumilia kukaa na watu ulio na uhakika nao kabisa kuwa ni wanyama...
 
Mpendazoe ukuu wa wikaya utapata kaZa matusi hata ya nguoni wazi wazi, utapata
 
Huyu jamaa ni mbunge wa jimbo llangu,Namba nane ni kweli ana uraia wa nchi 2. Hayo mengine wengine wachangie
 
Kwanini unayasema haya leo na si jana wala juzi? Utasema sababu amehama leo, sio?
 
Mpendazoe ukuu wa wikaya utapata kaZa matusi hata ya nguoni wazi wazi, utapata
Tunataka viongozi vijana damu inachemka, huyu na kipara chake enzi imeshampita. Kwa umri wake, kama hadi leo anakinbizana na mitandao hana mtoto wa kumtuma atukane JF basi hesabu ameikosea, mzee atupishe humu sisi watoto wa wenzie.
 
LAZARO anadai kwamba CCM imepoteza Uelekeo na anahama!...Well,hapa ninachokiona Tatizo sio KUHAMA, hii ni Haki yake Kikatiba!, Tatizo ni unapotangaza Sababu ya kuhama huko, Werevu Watahoji.

Je Bwana Waziri hivi Wakati ule Ukila BATA kwenye Shangingi la Uwaziri wa Wanyamapori huku ukitafuna Meat Chops za Ngiri wa Mikumi na Ma-Miss wa Down Town uliona CCM inafaa na ipo kwenye uelekeo sahihi???...Je Wakati unashutumiwa kutafuna Bilioni 2 za Maliasili na Bongo Movie Queen Ughaibuni je CCM ilikuwa kwako inafaa na haijapoteza Dira?

Jana kuna Jangiri huko Mbugani amedakwa na risasi 356, nasikia amebanwa huko ataje mabosi wake,..hii ni Alarm ya saa tu, Beat inakuja, MALIASILI ni Vita Mpya baada ya ile ya UNGA na MADINI,..na bado kuna swali muhimu je ni nani aliyepandisha Twiga wetu Air Quatar kwenda Picnic Dubai?..je ni nani alisafirisha Tumbiri wetu kwenda Swimming Ukraine?...how Comes Kima ndani ya KLM bila Passport wala Visa?

So unajiwahi wahi ili Vita kwenye Maliasili ikishanoga na Ukitajwa basi usingizie unakomolewa kwa sababu umehama?.... Mwenzako Nape nae tangu atoswe uwaziri wa Burudani amegeuka Philosopher!, hakika Namba mtaisoma vizuri, Nchi ya Mazoea is no More, Watanzania Sio Wajinga, kila Mtu atasimama kwenye Rangi yake...Dk Kigwangala endelea Kufukua Uozo Maliasili"..."Twende Kazi"

Ameandika,

Pio Pius....[emoji41]
======================

Lazaro Nyalandu aende wapi?

Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu atangaza kujivua Ubunge wa Jimbo hilo. Amwandikia barua Spika wa Bunge. - Amesema CCM imepoteza uelekeo na kuomba Wanachama wa CHADEMA kama wataona inafaa wamkaribishe.
Nitashangaa kama Chadema watampokea Nyalandu, kwa sababu:-

1. Nyalandu anatuhuma nyingi sana za ufisadi alioufanya wakati akiwa Waziri wa Maliasili, kitendo cha kumpokea Nyalandu itakuwa sawa na Chadema kubariki ufisadi kwa kukaribisha mafisadi.

2. Chadema tutazidi kujimaliza, wapinzani wetu watatuita tumekuwa Chama Cha Mafisadi na kwamba tumetoka kwenye ajenda yetu ya kupambana na ufisadi. Si unakumbuka tulivyobamizwa wakati wa uchaguzi 2015 tulivyowapokea Mafisadi Lowassa na Sumaye, hali hii itajirudia tena kutwangwa tutakapo mpokea Nyalandu.

3. Nyalandu si msafi na kila kona anajulikana kwa umalaya uliopitiliza, kitendo cha kumpokea Chadema kutatuchafua kwa jamii. Nadhani mnakumbuka sakata lake la kwenda nje ya nchi na Msanii Aunty Ezekiel jinsi tulivyomponda kuwa ni Malaya. Itakuwa jambo la ajabu tukila matapishi yetu.

4. Tusisahau pia sisi Chadema tulimshambulia sana Nyalandu kuuza nyala za Serikali na kuruhusu Wanyama pori kusafirishwa nje ya nchi. Kumpokea ni sawa na kula matapishi yetu, ni sawa na kujigeuza jalala la kupokea wachafu.

5. Nyalandu anakuja kuleta mgogoro mkubwa kati yake na Lema kwani lengo lake haswa ni kuja kugombea Ubunge Arusha Mjini. Kweli tumtenge Lema kisa takataka Nyalandu? Sikubali upuuzi huo.

6. Nyalandu ana tuhuma za kujihusisha na ushoga na ndoa za jinsia moja, kumpokea Nyalandu ni sawa na kuonekana tunakumbatia ushoga na ndoa za jinsia moja.

7. Nyalandu anakwepa madudu aliyoyafanya. Amejimilikisha sana vitalu, kuuza wanyama hai, kupora nyala za Serikali, kujihusisha na ujangili. Ni mtu ambaye atapandishwa muda wowote Mahakamani, hatufahi!

8. Nyalandu ni CIA mwenye uraia wa nchi mbili (Tanzania na Marekani), Chama chetu ni kichanga tusiruhusu CIA kuja kutuchunguza na kuvujisha siri zetu. Hatutabaki salama Chadema.
Wewe Njaa inakusumbua mnaishi kwa kutegemea ccm mnatamani kila Siku mchaguliwe maana bila nafsi hamuwezi ku survive.....
Nyalandu hategemei Ku hang kwenye system ya lumumba nyie ndiyo mna akili hizo

Ova
 
Njaa ni moja ya majaribu yanayoweza Kumfanya mtu kusaliti hata familia yake. Mpendazoe ana njaa kali!

Baada ya kuondoka com n.a. kwenda Chadema ulikimbia "mambo" gani? N.a. uliporudi ulikimbia nini Chadema?

Ili uwe mwongo yakupasa uwe n.a. kumbu kumbu nzuri.
Kishapu hawatakusahau kwa jinsi ulivyowatumikia.Kifupi hakuna cha kuiga/kujifunza!
 
Pambafff Mpendazoe! Hili ni tusi rasmi wewe ni mangapi ya hovyo ulifanya kishapu?

Matusi si kwenye matendo ya waungwana.....ukomavu wa demokrasia ni pamoja na kuvumiliana......

Kama ambavyo wewe unataka maamuzi ya Nyalandu yaheshimiwe kwa mujibu kwanini unashindwa kuyaheshimu maoni ya Mpendazoe ambayo ni haki yake kikatiba.....!!!?
 
Nyalandu angeweza kukaa CCM kama kina Chenge na Tibaijuka na asifanywe chochote. Tena ubunge ndo kwanza mwaka wa pili sasa nikushangae wewe Fred ulihama CCM ukatangatanga baada ya kuona ukomo wa ubunge umeisha na huna nafasi. Ulitangatanga mwishowe njaa ikakurudisha na bado unaonekana msaliti tu. Mwenzio angeweza kubaki huko na asifanywe chochote na nzi wa Lumumba. Umenipata? Ameumia kutokana na watu kushambuliwa kwa risasi mchana huku watu wakiendelea kula bata bila kuchukua hatua
kwendaaaaaaa
nguvu ileile mliyoitumia kumchafua Nyarandu ndo hiihii mnaitumia kumsafisha safi sana vijana wa chadema...
 
Well... Mpendazoe mimi nimekuelewa sana lakini nadhani wengi watakutukana. Maswali yako ni mazuri sana na kila mtanzania aangekuwa anajiuliza hivi hawa wanasiasa wasingetuchezea tena! Eti wakati anasafiri na machangu mpaka USA, CCM ilikuwa nzuri lakini wakati hana hiyo nafasi ndio anaiona CCM mbaya. Na wajinga watamwita ni shujaa!
N.a. wapumbavu hawatahoji kisa cha yeye kutanga tanga-ccm Chadema-ccm!
 
hakuna lolote na wew njaa tu, kwani wewe ni msafi kuzid nyalandu? kama unabisha uniruhusu tu kesho nkuwekee ushahid mmoja tu
 
huyu mzee anawashwa washwa nini na kitendo cha Lazaro kuhama ccm!? mbona ameanzisha thread nyingi sana leo kumu attack Nyalandu!?

Nadhani si kosa na ni haki yake kikatiba kama ambavyo wengine wanaanzisha nyuzi kumsifia Nyalandu........

Demokrasia ni pamoja na kuvumiliana
 
Usaliti ni laana mbaya sana na itakutafuna hadi kaburini , wewe Mpendazoe ndio wa kuhoji uamuzi wa Nyalandu ? Alivyoenda kumuona Lissu Nairobi mbona hukuandika porojo kama hizi ?

Hii ni siasa ya kiwango cha juu sana mkuu ukileta fyokofyoko TUTAKUANIKA VIBAYA SANA ! Tenda haki uheshimiwe usilete uzushi , kisa UDC unaoutafuta kwa udi na uvumba , siasa za kishamba waachie akina Jerry Murro .
Leo hii nyie nyie mnasema Nyarandu anazushiwa!!!??
 
Ni kama wewe leo unamuona anafaa wakati mlipiga kelele kuwa ana madudu mengi wizara ya malia asili.
Kwa spidi hii, ni rahisi sana kwa wachafu "kujisafisha" kwa chadema!
Yuo just join them and the forget all your evil deeds!

Siyo huyo tu, wako wengi humo kwenu ambao hamuwezi kuwasema mpaka wahame, tofauti iko wapi? Hukunielewa, mtu mchafu asemwe hata ikiwa CCM siyo kusubiri ahame ndiyo asemwe.
 
Mwacheni apumzike, mwacheni aende atakapo, ni aibu kuwa ccm wakati huu ambapo nchi naonesha kabisa inakikuka katiba, watu wanapigwa risasi mchana na hakuna anaekamatwa, watu wanakiri kutoa rushwa na bado wanapandishwa vyeo na mkuu wa nchi? Ukigombana na mpinzani ni haki kupata promotion? Shonza kamtukana kubenea kapewa zawadi uongozi wa chuki na kuumizana kuendelea kukumbatia hali hii ni dhambi.
 
Matusi si kwenye matendo ya waungwana.....ukomavu wa demokrasia ni pamoja na kuvumiliana......

Kama ambavyo wewe unataka maamuzi ya Nyalandu yaheshimiwe kwa mujibu kwanini unashindwa kuyaheshimu maoni ya Mpendazoe ambayo ni haki yake kikatiba.....!!!?
Hilo tusi ni rasmi kwa Mpendazoe,usinipangie cha kuongea! Na sijali kama huheshimu ama unaheshimu nilichosema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom