Kumbe Kweli Mapenzi Yanaumiza

Kumbe Kweli Mapenzi Yanaumiza

Mkuu mbona wapo wanaume ambao wanaacha wanawake kwa sababu fulani fulani? Hayo yapo kwa jinsia zote msiegemee kwa jinsi moja tu
Unawazungumziaje na wale wanawake wanaoacha wanaume kisa ni maskini, kisa ana uume mdogo, kisa ana uume mkubwa, kisa ni mfupi, kisa ni mnene, kisa ni mwembamba, kisa hafanyi kazi benki, kisa yuko dini tofaut na yeye, ..na umbembeleze mwanamke wa nini anayekuona mavi kunuka mbele yako
 
Mkuu MAPENZI YANAUMA!
Huwezi kula
Huwezi kufany kitu
.....
Mapenzi!
 
Some memories ni ngumu sana kupotea.....ngoja tu niishie hapa mkuu, kuna watu tunaishi na maumivu sana hii dunia.....#I miss you bad Rey
 
Hahaha umeandika kwa hisia duh
Mapenzi hayana baunsa kila mtu yanamgusa kwa wakati wake, unajikuta mtu mzima unachuruzika kamasi na machozi km umefiwa mbaya zaidi msababishi hashtuki, wala hajui km upo kwenye maumivu makali

Pole mkuu jikaze kiume walau sasa utaheshimu hisia za wanawake wengine kwako maana mwanzo hukuwa unajali chochote
 
Pole mkuu ila kila jambo linakusudi hivyo usijali yupo aliyeandaliwa kwa ajili yako usiumie sana muombe mungu akusaidie katika kipind hiki kigumu
 
Back
Top Bottom