Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,396
- 191,486
mapenzi hayana fundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli jamaa kaumizwa
mapenzi hayana fundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli jamaa kaumizwa
Aweke ngoma ya Big Sean - I dont **** with you 😂😂😂 kwa replay.
Nzuri sana kwa kuondolea machungu.
nyimboHii ni movie au jiwimbo?
Last paragraph though [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ushauri mzuri in general.Pole mwaya, kwanza uzi huu utakupa nafuu ya kumsahau.
Kama usingizi hauji weka aviation fuel kwenye kilauri upunguze tafakuri kesho nayo ni siku.
Laah kama waishi mwenyewee nenda sebleni washa mziki unaoupenda cheza walau masaa 2 au 1 bila kupumzika kisha kaoge utalala usingizi mzitoo ukiamka asubuhi machungu yote ya Mahaba kwishney.
Shukuru Mungu amekwambia ukweli maana angekudanganya akuchote hisia ale viepe na pizza zako kisha akusapraisi naolewa jumamosi hii, hapo ndo ungekufa kihoro.
K’ Matata.
Umesema vizuri sana...i can relate.Mapenzi hayana baunsa ukiona mwanaume anajitutumua humu kuwa hawezi kubembeleza mwanamke au hawezi kulilia papuchi moja kisa zipo nyingi basi ujue huyo hajawahi kupenda halafu kinachonishangaza wanaume wa siku hizi hawana mapenzi kwa wanawake zao ila wanataka wanawake zao wawe na utii kwao hata maandiko yanasema mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe
Sasa unakuta mwanaume hampendi mkewe au mpenzi wake ila anataka huyo mkewe au mpenzi wake amtii yaani dunia imebadilika sana siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakatili kwa jina la tamaduni za kiafrika na ndo hawa tunaowasikia na kauli zao hizi za "tunapiga na kusepa" au "tunazalisha na kuacha" yaani imefikia hatua badala ya kutafuta suluhisho la kupunguza maovu tunatafuta mshindi nani kati ya mwanaume au mwanamke ajabu sana
Mwaka mzima vikojoleo havijagongana bado unamuwaza? Wonders shall never endukipata mahusiano mengine uwe serious,mwaka mzima kwani amekua kinyago?
Mkuu kwenye mapenzi hao askari wenyewe wanajitoa uhai kwa bunduki zao wenyewe, omba Mungu yasikukuteMwanaume kulia lia kisa mapenzi ni uboya. Mwanaume kua askari
nyimbo
Last paragraph though [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ushauri mzuri in general.
Miss yuu'Pole sana ila Mungu ameumba kusahau utakuja kumsahau tu
😂😂😂😂ukipata mahusiano mengine uwe serious,mwaka mzima kwani amekua kinyago?
Si afadhali umejibiwa kuna wengine unamcheki WhatsApp anasoma sms wala hajibu na wakati ashakula advance pumbavuAisee nilikuwa nawashangaa wale ambao wanalia kuhusu mapenzi,wale ambao wameachwa,au wametendwa in one way or another..Nikawa najisemea ni ujinga kuumia au kulia lia kisa kuachwa au kutendwa,au kupoteza uhusiano na mtu umpendaye kwa sababu mbalimbali..
Kumbe bhana haya mambo yanatokea tu automatically unajikuta upo kwenye hali hiyo..
Kuna mtoto mmoja mzuri ambaye kimsingi alinivutia,so nikamtokea na kwa kiasi fulani nikamwin..mazingira niliyompata na tuliyoendelea kuwa nayo hayakunipa nafasi ya kuwajua ndugu au rafiki zake kiundani..
Sasa bhana from nowhere mtoto akawa hapatikani kwenye simu,miezi ikapita,mwaka n.k
Jana from nowhere nikakutana na mtu ambaye ambaye alinitambulisha kuwa ni rafiki yake,so ikabidi nimgusie kuhusu huyu mtoto,akanipa no zake ambazo anapatikana
Usiku nikamcheki nini,na ikabidi nimuulize what went wrong??,akawa kama tu anajiuma uma hivi..mwishoni akaniambia yupo kwenye serious relationship for the meantime kwahiyo hatuwezi kurenew uhusiano wetu..Daah niliumia kinoma
Nahisi pia nimeumia kwa sababu kwanza huyu mtoto alikuwa na vigezo vyote vya mtu nimtakaye..wanawake wako wengi lakini ni kazi kumpata yule unaye-mpicture kwenye akili yako japo hata kwa asilimia 65 tu..
Anyway ndo maisha..siku nzima akili haipo sawa,hadi saivi 00:57 nipo macho,I can't believe that..Kwa swala hili ambalo kwa wengine linaweza kuwa la kawaida ila kwangu mimi limenipa wakati mgumu..
Lets call it LOVE
Hahhhahhhahhaa,wewe unakuaga kachokozi.Pole mkuu,maumivu yatapoa na utamsahau tu, kwahiyo jimbo lipo wazi rasmi sasa maana huo mwaka mzima ulikua in between [emoji2] ,"just thinking out loud"