Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,809
- 40,562
Me bado naonaga ni upopoma kulia lia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Pole mkuu,maumivu yatapoa na utamsahau tu, kwahiyo jimbo lipo wazi rasmi sasa maana huo mwaka mzima ulikua in between [emoji2] ,"just thinking out loud"
Hayajakukuta brotherMe bado naonaga ni upopoma kulia lia.
Unawazungumziaje na wale wanawake wanaoacha wanaume kisa ni maskini, kisa ana uume mdogo, kisa ana uume mkubwa, kisa ni mfupi, kisa ni mnene, kisa ni mwembamba, kisa hafanyi kazi benki, kisa yuko dini tofaut na yeye, ..na umbembeleze mwanamke wa nini anayekuona mavi kunuka mbele yakoMapenzi hayana baunsa ukiona mwanaume anajitutumua humu kuwa hawezi kubembeleza mwanamke au hawezi kulilia papuchi moja kisa zipo nyingi basi ujue huyo hajawahi kupenda halafu kinachonishangaza wanaume wa siku hizi hawana mapenzi kwa wanawake zao ila wanataka wanawake zao wawe na utii kwao hata maandiko yanasema mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe
Sasa unakuta mwanaume hampendi mkewe au mpenzi wake ila anataka huyo mkewe au mpenzi wake amtii yaani dunia imebadilika sana siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakatili kwa jina la tamaduni za kiafrika na ndo hawa tunaowasikia na kauli zao hizi za "tunapiga na kusepa" au "tunazalisha na kuacha" yaani imefikia hatua badala ya kutafuta suluhisho la kupunguza maovu tunatafuta mshindi nani kati ya mwanaume au mwanamke ajabu sana
Najua unayoyapitia, kazi yangu moja tu ntakuombea waachane.Nice advice..
Aisee nilikuwa nawashangaa wale ambao wanalia kuhusu mapenzi,wale ambao wameachwa,au wametendwa in one way or another..Nikawa najisemea ni ujinga kuumia au kulia lia kisa kuachwa au kutendwa,au kupoteza uhusiano na mtu umpendaye kwa sababu mbalimbali..
Kumbe bhana haya mambo yanatokea tu automatically unajikuta upo kwenye hali hiyo..
Kuna mtoto mmoja mzuri ambaye kimsingi alinivutia,so nikamtokea na kwa kiasi fulani nikamwin..mazingira niliyompata na tuliyoendelea kuwa nayo hayakunipa nafasi ya kuwajua ndugu au rafiki zake kiundani..
Sasa bhana from nowhere mtoto akawa hapatikani kwenye simu,miezi ikapita,mwaka n.k
Jana from nowhere nikakutana na mtu ambaye ambaye alinitambulisha kuwa ni rafiki yake,so ikabidi nimgusie kuhusu huyu mtoto,akanipa no zake ambazo anapatikana
Usiku nikamcheki nini,na ikabidi nimuulize what went wrong??,akawa kama tu anajiuma uma hivi..mwishoni akaniambia yupo kwenye serious relationship for the meantime kwahiyo hatuwezi kurenew uhusiano wetu..Daah niliumia kinoma
Nahisi pia nimeumia kwa sababu kwanza huyu mtoto alikuwa na vigezo vyote vya mtu nimtakaye..wanawake wako wengi lakini ni kazi kumpata yule unaye-mpicture kwenye akili yako japo hata kwa asilimia 65 tu..
Anyway ndo maisha..siku nzima akili haipo sawa,hadi saivi 00:57 nipo macho,I can't believe that..Kwa swala hili ambalo kwa wengine linaweza kuwa la kawaida ila kwangu mimi limenipa wakati mgumu..
Lets call it LOVE
Sometimes kumkumbuka ilikuwa inatokea tu..
Tatizo limeanzia hapo ila inauma sana! Pole sana mkuiNi sawa alikua na vigezo vyote unavyovihitaji mwanamke wako awe navyo lakini ukasahau pengine wewe hukua na vigezo anavyovitaka yeye mwanaume wake serious awe navyo
Hahahaaaa mi khatari mkuuTatizo limeanzia hapo ila inauma sana! Pole sana mkui
Sana halafu inaboa hii mtu akupotezee muda... ila ashukuru kamwambia ukweli!Hahahaaaa mi khatari mkuu
Umetisha mkuuAisee nilikuwa nawashangaa wale ambao wanalia kuhusu mapenzi,wale ambao wameachwa,au wametendwa in one way or another..Nikawa najisemea ni ujinga kuumia au kulia lia kisa kuachwa au kutendwa,au kupoteza uhusiano na mtu umpendaye kwa sababu mbalimbali..