Kumbe Kweli Mapenzi Yanaumiza

Kumbe Kweli Mapenzi Yanaumiza

Kuna jamaa alipost hiii, we badili tu from friends to that bitch alokukataa[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1563001119060.jpeg
 
Hapo sasa tuko pamoja marianah nilijua tunaegemeana kumbe wote tuko sawa na wote tunaacha, sometimes bila hata sababu za msingi.. solution ni kwamba mpende akupendaye ..asiyekupenda .....RIP banza stone
Mkuu mbona wapo wanaume ambao wanaacha wanawake kwa sababu fulani fulani? Hayo yapo kwa jinsia zote msiegemee kwa jinsi moja tu
 
Eti nina ng'ombe wangu,
Eti wa kidumedume,
Eti akitaka kwenda,
Eti mbaka asukumwe,
Eti vijana wa sasa,
Eti wapenda masomo,
Eti kofia kichwani,
Eti zinawapendeza.
Umetisha naomba niwe mgeni wako pm Kama hautojali
 
Back
Top Bottom