Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,644
- 19,325
Na yeye alipaswa kujiongeza baada ya kupoteana mwaka mzimaSana halafu inaboa hii mtu akupotezee muda... ila ashukuru kamwambia ukweli!
Na yeye alipaswa kujiongeza baada ya kupoteana mwaka mzimaSana halafu inaboa hii mtu akupotezee muda... ila ashukuru kamwambia ukweli!
Mkuu umetisha sana ukweli mtupu mwanaume halisi analia mara moja ile ya kumaanisha kabisa baada ya hapo akiumizwa tena ni maumivu ya kawaidaNi kweli usemayo lakini ukumbuke nyinyi ndiyo mnasababisha tuwe hivi. Wanaume tunapenda mara moja na tukishaumizwa kwenye hiyo mara mmoja ni mwendo wa kula na kusepa.
Na tukipenda huwa tunakuwa kama ndege aliyemwagiwa maji na nyinyi ndiyo mnaona kama fursa ya kutupanda vichwani.
Miss u more babe [emoji8][emoji8] mwambie mtekaji akuachie achie kidogoMiss yuu'
Na yeye alipaswa kujiongeza baada ya kupoteana mwaka mzima
[/QUOTE
Lakini si unajua kupenda alikuwa anataka uhakika,ameshapata sasa hivi lazima maisha yaendelee...
Hahaaaa, my dear kweli maana mwaka mzima alikua hajielewi kama kaachwa ama yupo tu, so now it's confirmed. Nataka niwanie jimbo[emoji2] [emoji2]Hahhhahhhahhaa,wewe unakuaga kachokozi.
Hapana BAK kusahau kupoInategemea NTU na NTU 🙂
Halafu acha tuu...yaanii hahahahaaaa woiiiiiiMiss u more babe [emoji8][emoji8] mwambie mtekaji akuachie achie kidogo
[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Pole mkuu,maumivu yatapoa na utamsahau tu, kwahiyo jimbo lipo wazi rasmi sasa maana huo mwaka mzima ulikua in between [emoji2] ,"just thinking out loud"
Mkuu nipe ramani mkuu kuna mambo gani mazuri ya kusuhuza moyo 💓Ukienda Ethiopia utapata unacho kiitaji uta acha kulia lia
AhaaaaaaaaDah.Noma.Miaka yangu yoote kwenye dunia hii mpaka nimeoa na mm nimekua na mtazamo huo kama uliokua nao..inakuaje mktu ulie lie hivyo kisa mapenzi??
Bwana wee..Muda huu niko kwe ye mgogoro mkubwa sana na moyo wangu maana kuna mahal unataka kunipeleka na naona kama ushafika kabisaa ila kinachonisaidia hapa ni nafsi tu bado iko ngangari na akil ziko mahali pake .Huu mgogoro wa binafsi wa ndani kwa ndani umeanza kama week 2 zimepita nikiw kanda ya ziwa.
I hope sitafika hatua uliofika ww.ila kupenda ni kitu cha kipumbavu sana.
Maana mwenyew najiukiza hiw come nimeanza kumpenda mtu ghafla namna hii wakat nina mke na watoto wananijal na kuniheshim ..how come???? Ni kujiendekeza au ndio ndumba hiz za mapenz zinataka kunitoa kwenye line??
niko makin ku observe haka kamgogoro kangu kati ya MOYO vs Nafsi&akili niona nan atashinda....
Ni kweli usemayo lakini ukumbuke nyinyi ndiyo mnasababisha tuwe hivi. Wanaume tunapenda mara moja na tukishaumizwa kwenye hiyo mara mmoja ni mwendo wa kula na kusepa.
Na tukipenda huwa tunakuwa kama ndege aliyemwagiwa maji na nyinyi ndiyo mnaona kama fursa ya kutupanda vichwani.
Ni kweli inapaswa munakuwa wengi ili kazi inakuwa rahisi kama akizengua na hamia kwako au sio njoo basi pmSasa kwanini ukiumizwa na mmoja udhani kwamba wanawake wote ndo wako hivyo?