Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

Ndio maana kuna ongezeko kubwa la watu kupanga bidhaa zao njiani. Kodi ni katili sana
Kweli Bora vile, halafu vile wateja ndio wengi sana, maeneo ya gongo laboto Hadi Barbara imekua ndogo, Ile idea ya magu ya kitambulisho cha mjasiliamali 20k ilikua Bomba sana aisee, na 20k ilikuasanywa kwa watu weng sana mana wafanyabiashara wadogo ndio wengi sana
 
Mmatumbi akiishi kwa law za new Jersey. 🤗

Eti unashangaa.!

Kande la ndizi na kunde. 🤭
 
Kuhusu Kodi ni wajibu wetu kulipa, maana hata huko mambele wana lipa sana tu, tatizo la inchi yetu tuna kamliwa hasa lakini c.a.g akitoka report yake haifanyiwi kazi, ni Bora hata hicho kitengo kiondolewe maana sioni umuhimu wake kabisa.
mkuu ukitoka nje ya Tanzania na kutembelea nchi nyingine lazima utakosa uzalendo na kuwa na chuki na mafisadi ya nchi yetu mama Tanzania, kiukweli Tanzania kufanikiwa kwa kujiajili na kama wewe ni mtoto wa Masikini ni ngumu mno labda upitie mlango wa nyuma
 
UKWELI 100%
 
utitiri wa Kodi unatisha, hali ni tete, Kodi kedekede ila zinaishia kwenye matumbo ya wachache kwa maslahi binafsi, ukiingia biasharani hapa bongo inabidi ujipange kwelikweli ipasavyo
Tunalipa kodi wahuni waendeshe Magharibi ya Kifahari na kujilipa posho tu, inasikitisha sana.
 
Na makanisa ya kilokole yatozwe hiyo kodi ya BASATA sababu wanapiga nyimbo tu kwenye flash hata kama ndani wamo wawili.
 
Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!

Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.

Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??

👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala

sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.
Chai
 
Regulators nao ni wengi balaa, changamoto Kodi zinaliwa Tu. Nchi ingekuwa kama za Ulaya unadhani Nani angelalamika sasa hivi.
 
utitiri wa Kodi unatisha, hali ni tete, Kodi kedekede ila zinaishia kwenye matumbo ya wachache kwa maslahi binafsi, ukiingia biasharani hapa bongo inabidi ujipange kwelikweli ipasavyo

Hivi mkuu, kwanini nchi yetu imekua na kodi nyingi kiasi hicho!! Sasa wanataka tufunge biashara!

Bora waache
Service levy✅ na Leseni✅ ziendelee
TRA❌
Kodi ya pango❌
Taka❌
Bango❌

Yote 6 ni yanini?? Hii sio sawa kwakweli, ni kuumizana tu, ila Mungu atalipa.
 
Back
Top Bottom