Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

Tatizo la hii nchi ni kuwa na walipakodi wachache so inabidi wakamuliwe vilivyo. Imagine nchi ya watu milioni 70 , lakini wanaolipa kodi moja kwa moja ni milioni 2 je unadhani hawatakuwa na mzigo mzito? Angalau kungekuwa na walipakodi milion 10–15
 
Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!

Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.

Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??

👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala

sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.
We mshamba umetokea.pande zipi na kuingia mjini. Km hutaki usipige mziki wala movie yyte, hakuna vya bure babu
 
Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!

Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.

Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??

👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala

sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.
Hadi wanaoshona nguo mitaani kuna kodi ya BASATA pia.
 
Tatizo la hii nchi ni kuwa na walipakodi wachache so inabidi wakamuliwe vilivyo. Imagine nchi ya watu milioni 70 , lakini wanaolipa kodi moja kwa moja ni milioni 2 je unadhani hawatakuwa na mzigo mzito? Angalau kungekuwa na walipakodi milion 10–15
Sio kwamba Kodi zingekua fair weng sana wangelipa?
 
Kulipa Kodi hamna ambae hataki, ishu ni kukamuliwa hizi sio Kodi ni mateso
Wapo watu wengi tu hawataki kulipa kodi, hata mimi sipendi kulipa kodi wala sioni ufahari kulipa kodi ila inabidi kwa sababu ni lazima.
 
Back
Top Bottom