Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,743
- 99,617
Hahahaha, KAZI ya kukusanya mirabaha hiyo,Basata ,CosotaUnashangaa pub
Wakati mpaka saloon za kunyoa na kusuka zimo
Ova
Hahahaha, KAZI ya kukusanya mirabaha hiyo,Basata ,CosotaUnashangaa pub
Wakati mpaka saloon za kunyoa na kusuka zimo
Ova
Kuna Cosota,atatoa tuMwambie kwenye pub yake awe anaweka miziki ya mbele tu
Ngumu sana! Kuna mtu nimemsikia anasema anadaiwa tra kodi 20m ana duka la hardware duh na hapo kumbuka inaenda inapanda! Unakuwa kama unamfanyia kazi kafiri kwa kutumia mtaji wako!Kujiajiri ni kugumu
Cosota ni nini tena?Kuna Cosota,atatoa tu
Copyright society of TanzaniaCosota ni nini tena?
Ooh sawaCopyright society of Tanzania
Hope umewapata , ni tofauti na Basata ila wote Wana deal na KAZI za WasaniiOoh sawa
Haiwezekani utakosa watejaMwambie kwenye pub yake awe anaweka miziki ya mbele tu
Nimewajua kwa kuona hilo neno tu ila siwajui kinagaubaga! Basata ukakusanye kodi bar, wakusanya kodi wapunguze tamaa! Heri wewe unaowajua fikiria mtu asiye na hiyo elimu anawajuaje?Hope umewapata , ni tofauti na Basata ila wote Wana deal na KAZI za Wasanii
Basata kudai Kodi ni uonevu sababu tayari Yuko Cosota anayechukua mirabaha ya Wasanii
Nimewahi kufanya kazi na Cosota najua walahi ABC
Serikali haramu ina mambo ya hovyo sanaKwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!
Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.
Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??
👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala
sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.
Iko hivi, kumbi zote au SEHEMU zote zinazotumia muziki kama kiburudisho Kwa mteja basi atatakiwa kulipia kiasi Fulani hv Cha pesa , Kwa saloon na Grocery ilikua 50k ,Bar , lounge,pub,100k hizi walikua wanakusanya Cosota na mwisho wa mwaka ,wasanii wanapata gawio kama umewahi kusikia msanii kapata gawioNimewajua kwa kuona hilo neno tu ila siwajui kinagaubaga! Basata ukakusanye kodi bar, wakusanya kodi wapunguze tamaa! Heri wewe unaowajua fikiria mtu aisye na hiyo elimu anawajuaje?
Ahaa hapo sawa! Cosota wako sahihi, ila sijaelewa kwanini wakusanye kodi salon wawape gawio wasanii..Iko hivi, kumbi zote au SEHEMU zote zinazotumia muziki kama kiburudisho Kwa mteja basi atatakiwa kulipia kiasi Fulani hv Cha pesa , Kwa saloon na Grocery ilikua 50k ,Bar , lounge,pub,100k hizi walikua wanakusanya Cosota na mwisho wa mwaka ,wasanii wanapata gawio kama umewahi kusikia msanii kapata gawio
Hiyo ni kwa Cosota
Sasa nashindwa kujua au kuelewa Basata anakusanya hy Kodi kwa ajiri ya Nini ? Ningejua Basata wao ni kwanini walau tungelinganisha na Cosota
MBONA KUNA KODI HADI YA BAKWATA NAJUA WASIHARAMU WATABISHAKwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!
Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.
Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??
👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala
sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.
Mpaka Biashara ya kuuza keki , lesini yake ni ya basataUnashangaa pub
Wakati mpaka saloon za kunyoa na kusuka zimo
Ova
Cosota ilibidi iwepo kule BrelaCopyright society of Tanzania