Kumbe kula ugali nusu kilo ni jambo la kushangaza

Kumbe kula ugali nusu kilo ni jambo la kushangaza

Ugali umeshaimbwa humu Sana eti Ni chakula kibaya kinadumaza akili kumbe wengine wanaufakamia kbsa mpaka kumaliza nusu kilo [emoji23]
Nani kasema kwa kupitia research ipi? Udumavu ni matokeo ya vitu vingi.
 
Ulaji wa wanga mwingi husababisha watu wasiwe na akili.

Binadamu hupaswi kula sana, kula kiasi
 
Walisema hautofika mbali na hapo ni wapi?.Piga sembe hilo kwani wanakusaidia kununua.
 
Kula kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.
Kula sana huku kazi yako ikiwa si ya kutumia nguvu ndo hatari. Mfano mtu wa mishe za town dar unashinda kijiweni asile sana ila mkulima ni sawa kula akashiba.
 
Kula sana huku kazi yako ikiwa si ya kutumia nguvu ndo hatari. Mfano mtu wa mishe za town dar unashinda kijiweni asile sana ila mkulima ni sawa kula akashiba.
Mkuu unga nusu wa ugali anamaliza mtu mmoja, wewe unaona ni hali ya kawaida hiyo?
 
Katika hali ya kawaida nikitoka zangu mishe mishe napitia kwa mangi nanunua unga nusu kilo, dagaa wa buku na maji lita moja na nusu naenda kusonga ugali na dagaa wa mchuzi nikianza kula nahakikisha ugali, mboga na maji vyote vinakwisha na ndio nilivyozoea siku nikiwa na appetite ya kula nanunua unga robo tatu.

Sasa leo katika stori nikashare huu utaratibu wangu wa ulaji yaani kila mtu kabaki anastaajabu wengine hawaamini kama naweza kumaliza nusu kilo ya ugali eti labda ingekuwa robo wangeshawika kuamini.

Sasa kweli kumaliza nusu kilo ya ugali ni jambo la kushangaza wana jukwaa?
Ni mtu asiye na maarifa tu anaweza kujisifia kwa kula sana

Mtu anayefanya kazi ngumu anatakiwa kula sana ila sio ndio nusu

unaenda kuutesa mwili wako tu kuhangaika kubalance sukari
 
Back
Top Bottom