Kumbe kula ugali nusu kilo ni jambo la kushangaza

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,188
Reaction score
14,346
Katika hali ya kawaida nikitoka zangu mishe mishe napitia kwa mangi nanunua unga nusu kilo, dagaa wa buku na maji lita moja na nusu naenda kusonga ugali na dagaa wa mchuzi nikianza kula nahakikisha ugali, mboga na maji vyote vinakwisha na ndio nilivyozoea siku nikiwa na appetite ya kula nanunua unga robo tatu.

Sasa leo katika stori nikashare huu utaratibu wangu wa ulaji yaani kila mtu kabaki anastaajabu wengine hawaamini kama naweza kumaliza nusu kilo ya ugali eti labda ingekuwa robo wangeshawika kuamini.

Sasa kweli kumaliza nusu kilo ya ugali ni jambo la kushangaza wana jukwaa?
 
Huku kwetu hata hio nusu kilo hatujui tunajaza tu kwenye lisinia
 
Katika hali ya kawaida nikitoka zangu mishe mishe napitia kwa mangi nanunua unga nusu kilo, dagaa wa buku na maji lita moja na nusu naenda kusonga ugali na dagaa wa mchuzi nikianza kula nahakikisha ugali, mboga na maji vyote vinakwisha na ndio nilivyozoea siku nikiwa na appetite ya kula nanunua unga robo tatu.

Sasa leo katika stori nikashare huu utaratibu wangu wa ulaji yaani kila mtu kabaki anastaajabu wengine hawaamini kama naweza kumaliza nusu kilo ya ugali eti labda ingekuwa robo wangeshawika kuamini.

Sasa kweli kumaliza nusu kilo ya ugali ni jambo la kushangaza wana jukwaa?
Watoto wa Dar ndio wanashangaa hilo ila sisi wa shambani hilo kawaida sana.
 
Wabongo tunapenda kulakula tuuu. This is too much. Laiti tungewekeza hii nguvu ya kufakamia misos kwenye kufanya kazi vibaruani huko tungekuwa mbali.
 
True tupo Kwenye ardhi yenye rotuba haina haja ya kujibania kula kama tupo Somalia.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wabongo tunapenda kulakula tuuu. This is too much. Laiti tungewekeza hii nguvu ya kufakamia misos kwenye kufanya kazi vibaruani huko tungekuwa mbali.
Kazi zitafanyikaje kama una njaa mkuu? Kula na kazi ni vitu vinavyokwenda sambamba unakula ili kazi zifanyike na kazi zinafanyika ili upate chakula.
 
Back
Top Bottom