Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,086
- 16,060
honga baba,..pesa unatafta mwenyew,..si kesi,..wanaume wote tunahonga,kila mwanaume ana degree yake ya kuhonga..kuna wanao honga pombe au vinywaj,hata soda ili kupata nafas flan,eitha ya kuanzisha maongez kama starter,..kuna wanaohonga ahadi mbalimbali ingawa wanajua hawatatekeleza,ni kumlubun tu mwanamke,kuna wanao honga zawad n.k,..kuna wanaohonga pip na bigi jii,chips yai,juisi,na kuna wanao honga elf50 had milioni,so inategemea na uwezo wako...jichunguze tuu lazma utaona kuna angle unahonga