Kumbe kuhonga kuna raha yake

Kumbe kuhonga kuna raha yake

Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.

View attachment 143215huyo ndo mkeo
 
Laki moja umefungua thread,siku ukimkabidhi funguo za ka Vitz utaita waandishi paleeee MAELEZO!!!
 
wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.

Babu Kizee Jinga
 
Ongeza bidii mzee jitahd mwezi umkabidh mshahara.

Kweli wewe nimzee
 
Aisee kuhonga nako ni kipaji, wanaume tunatofautiana sana techniques katika kutongoza na kuhandle mahusiano. Kuhonga ni kimojawapo...!
 
babu kizee unazidi kupunguza ule mtaji wako. hivi ilikuwa laki tatu au elf thelathini?
 
Laki moja umefungua thread,siku ukimkabidhi funguo za ka Vitz utaita waandishi paleeee MAELEZO!!!

hahahaahahahahhaa!!!!!!!!!! tumpe moyo bana babu kizee, mrembo mwenzetu ale mijihela bila kutoka jasho.
 
kaka hiyo hela ukubwa na udogo unategemea na mtoaji na mpokeaji, wanaosema ndogo wanajipimisha wao na wanaosema kubwa vile vile. Inawezekana kimwana halali leo kuwaza hilo dau na atakupenda kweli usidanganyike na wasiokuwa na hela hao ni mpaka adanganye kweli kweli ndio afanikiwe. Sina jimbo useme nitapoteza wapiga kula ila huo ni ukweli.
 
Tatizo vijana wa leo mnatongozea pesa badala ya maneno matamu, demu akizoea pesa kumbe pesa zenyewe za mawazo lazima akukimbie tu. Matokeo yake masela mitaani wanakula bure ee
 
Laki moja nayo hela ya kujisifu mtandaoni kua umehonga?LOL

Laki moja hela ndogo sana kusema umehonga, labda umempa hela ya credit tu. Jitahidi kuongeza kwa huyo kimwana

Laki moja umehonga mbona kidogo sana afu imekuwa kama imekuuma hadi umeona upunguzie machungu hapa MMU pole sana. hiyo ni hela ya saloon tu.

naona mawazo yenu yote yanafanana.
enhe kiasi gani kinahitajika kuhonga sasa?!
 
Tatizo vijana wa leo mnatongozea pesa badala ya maneno matamu, demu akizoea pesa kumbe pesa zenyewe za mawazo lazima akukimbie tu. Matokeo yake masela mitaani wanakula bure ee

na hayo maneno matamu asipoyapata atakimbia tu. kukimbiwa haina formula.
 
Back
Top Bottom