Yes Yes Yo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 232
- 99
Hivi mtu unaanzaje kuhonga?
Unapo ona pesa inahitajika kumtuliza mbebi ndipo mtu anapo honga... si unajua kua mapenzi kama ulevi, na mlevi akisha lewa nadhani unafahamu matokeo yake.
Hivi mtu unaanzaje kuhonga?
Kuhonga....! ndio nini?
je ukitoa mwili wako, au ukitumia maneno matamu nako ni kuhonga....!Kutoa Pesa au kitu kinacholingana na thamani ya Pesa, ili upate kitu flani ambacho katika hali ya kawaida ni vigumu kukipata kwa muhitaji wa hicho kitu.
je ukitoa mwili wako, au ukitumia maneno matamu nako ni kuhonga....!
sawa, je mwanaume hawezi kumuhonga mtu mke mwili wake....?ili binti apate, anahonga kilichopo katika mwili, na wakati mwingine huonga vyote. ama sivyo?
sawa, je mwanaume hawezi kumuhonga mtu mke mwili wake....?