Kumbe kuhonga kuna raha yake

Kumbe kuhonga kuna raha yake

BABU KIZEE

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
452
Reaction score
72
Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.
 
mkumbuke na mzazi wako katika hizo hela unazotoa hovyo hovyo!

pili, kumbuka kuna HIVna UKIMWI!

tatu, MICHEPUKO si mizuri!

nne, FAMILIA yako itakufa njaa endapo utaendelea na hiyo tabia!

tano, JENGA MAISHA ya watoto wako waje wafurahi baadae!

michepuko si mizuri aiseee! UBAZAZI HAULIPI KABISA!
 
Ngoja siku ukiwa juu ya mawe.. ndo utaona Raha kuonga wakati huo huyo Honey wako kashakukimbia
 
mzoeshe tu ukiishiwa utaona matokeo yake na usisahau kuleta mrejesho hapa sawa eh!
 
aaaah!babu kizee unazingua na topic zako za ajabu!
 
Mbona wanasema laki si pesa, Ongeza zaidi mkuu.
 
Ukumbuke kununua na jeneza kabisa.
 
Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.

Kuhonga ni dalili za domo zege na siku zote kwenye mapenzi ukitanguliza pesa basi siku usipokuwa na pesa tegemea maumivu.
 
Laki moja hela ndogo sana kusema umehonga, labda umempa hela ya credit tu. Jitahidi kuongeza kwa huyo kimwana
 
Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.

Laki moja umehonga mbona kidogo sana afu imekuwa kama imekuuma hadi umeona upunguzie machungu hapa MMU pole sana. hiyo ni hela ya saloon tu.
 
Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.
Hapo umempa vijisenti vya vocha tuu tena vya siku3 kama sio mtu wa mishemishe....
 
Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.

Limbukeni wa mapenzi wewe
 
Back
Top Bottom