Hii ndio inayowtesa wanawake wa kisasa ila hakuna uchungu wa kutisha hivyo. Mke wangu tulimpeleka saa 7, saa 9 kajifungua Glory wetu na saa 12 tumerudi kwetu yaani walimruhusu kuondoka.
Epuka ndoaAna miaka mingapi maana unatumika umri wa mama
Na kwanini uzaw na mchepuko mkuu??
🤗🤗[emoji1787]
mkwepu jr naomba like yako ionekane hapaJamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Alafu kuleeee mbona umepotea mideko 😄 hutupiii tena vitu au umeokokaMimi sio kungwi jamani
Angemuuliza na mama ake ilikuaje kuanzia mimba yake hadi anamzaa kabla hajashutumu wanawake wa kileo....Mshukuru Mungu kwa kumjalia neema mke wako ya kujifungua salama kwa wakati na bila usumbufu au matatizo yoyote ki afya ila hiyo neema aliyokupa Mungu isikupe kiburi ukamkufuru.
Unataka kuniambia wanaofia leba wakijifungua nao huwa wanaigiza kufa? Au wanaoshindikana kujifungua kawaida hadi wanaamua kumfanyia upasuaji ule ni uigizaji?
Kiburi cha uzima kinakusumbua . Mshukuru Mungu kwa ajili ya neema yake maishani mwenu ila usikufuru. Hiyo ni Neema tu wala haukustahili.
Wamenila ban siwezi kureply 😅😅😅Alafu kuleeee mbona umepotea mideko 😄 hutupiii tena vitu au umeokoka
Angalia usitapike ukazimia mAma kija tafuta kitu ukila kikusaidie usiwe unavomit kila saa hata daktari anaushauri mzuriHavina formula.yaani huwezi jipanga useme.sitaki morning sickness .so unaenda tu na biti
Nilitapika hadi damu shoga yangu ila nilizaa kababy ka 4.2 kgAngalia usitapike ukazimia mAma kija tafuta kitu ukila kikusaidie usiwe unavomit kila saa hata daktari anaushauri mzuri
Ipo ndio kwa baadhi ya hospital ikiwemo CCBRT,Hivi hii huduma bongo pia wanafanya
Hukujua nini shida ya kutapika damuNilitapika hadi damu shoga yangu ila nilizaa kababy ka 4.2 kg
Bado hujaotewaga hadi leo
Atubrief mapema tujipange😀😀
Kwa hiyo sa hivi ukitema mate yanakawia kufika chiniJamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Naona umekurupuka na kujaa upepo. Hakuna sehemu niliyosema wanaokufa au wanaoshindwa kujifungua hadi kufanyiwa operesheni ni wanajifanyisha. Hoja yangu ni kuwa wanawake wa sasa nyie masista du mnajiendekeza na mnaigiza maisha yaani Mimba mnafanya kama kitu kikubwa sana. Yaani ukiwa na mimba unataka na mme naye awe na mimba kwa kumpelekesha. Mbona huku vijijini wanawake hawafanyi hivyo mfanyavyo? Hayo mengine ni yako.Mshukuru Mungu kwa kumjalia neema mke wako ya kujifungua salama kwa wakati na bila usumbufu au matatizo yoyote ki afya ila hiyo neema aliyokupa Mungu isikupe kiburi ukamkufuru.