PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
Naendelea kujifunza kuhusu JK!
Kumbe madaraka ni matamu wakuu!
Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya uprezidaa!....
Kumbe inawezekana kukaa nchini kwa miezi kadha akitembelea vijiji na kata bila kusafiri na kwenda kupanda mabembea!?
Pia ni masikitiko makubwa kwamba huyu mkuu angelikuwa anamaanisha kuwasaidia wananchi kikweli, hizo helikopta alizonunua ili kufanya kampeni angezinunua mapema akiwa rais ili awafikie watu kirahisi na kuwasikiliza!...Mi naona tendo hilo linamfanya aonekane Mbinafsi zaidi, na kwamba hayuko kwaajili ya watanzania, bali kulinda nafasi na ufalme wake kwa gharama ya walipa kodi!!...mwaionaje hii!